Kocha alisema tusicheze ile mechi mpaka refa na sheria za mpira zibadilishwe akakamatwa mpaka leo yupo ngome.
Sisi wachezaji tukagoma kushiriki katika ile mechi katakata tukiongozwa na kocha msaidizi na benchi lake la ufundi japo wakati huo lilizongwa na
Tukaze buti wanangu maana msimamo wetu ndo unaofanya timu yao inakua haina msimamo ma captain wao nanagombania kitambaa, huku golikipa wao kaweka mpira kwapani.
Siku nyingine ya kuwapa MAUA Wazee wetu, in no particular order:
Mzee Sinde Warioba.
Mzee Issa Shivji.
Mama Anna Tibaijuka.
Mzee Charles Kitima.
Mzee Jenerali Ulimwengu.
Mama Rosemary Mwakitwange.
Orodha ni ndefu, lakini, fahamuni, WE LOVE You All!