Tunakoelekea nnadhani inafaa kupambana ili Ubunge uwe kazi ya hiari iso na malipo, iwe kama Uenyekiti wa Kijiji/Kitongoji ama Udiwani. Hii itatusaidia kupata watu bora wakuwakilisha matakwa yetu, sahii Ubunge ni kazi na wanaenda kusaka utajiri
@mdh_tanzania Hao ndio Wazungu bwana, wamewateka majitu ya hovyo kati yetu alaf yanawapa pesa ili wachochee uzinzi na uasherati. Shame on you stupid people
@SheikhPonda Am a good Muslim lkn hili nnakupinga na sababu nnazo. Nyie viongozi wetu mmekosa maono ya kujenga taasisi zenu Imara ili nasi tufaidike na hii ppp mmebakia kugombania Misikiti, nambie BAKWATA wana agenda gani ya maana ya kua na taasis kama KCMC au Selian ndio muanze kulialia
@Gibson44178359 Wewe kilichokujaa ni Chuki na Udini. Prof Shivji ni Mkiristo? Lipumba ni Mkiristo? Haya tuambie Kibajaji ni Muislam? Msukuma je? Ukiwa na akili ndogo lazma uhusianishe Uarabu na Uislam lkn waarabu ni kabila kama wachaga tu
@mshambuliaji Nyie ni wasaka tonge tu, watu wa hovyo mnaonunulika kujaza matumbo yenu yasio na staha, njaa na udanda unawangaisha, wazee wa hovyo ambao matumbo yenu yako mbele kuliko vizazi vyenu
@iamKaga Mimi bwana nilishajua namba haipandi na sikuwahi kuhangaika nayo, nikakomaa zangu na masomo yangu 6 huku nkijua hilo la 7 nnafeli nikajipigia zangu c 5 na d na mswaki na A level nkaenda na leo niko hapa. Waliokomaa na hesabu wakafeli kila kitu