Mpaka kufikia 2021 JPM anafariki pale, ni vijana wachache sana walikuwa wamekimbia nchi/wako exile kwa sababu za kisiasa na hofu ya kurudi nchini kwa sababu za kisiasa/utawala uliopo madarakani na vyombo vya dola.
Hapa katikati hapa 2024-2026 hii idadi ya vijana kuwa exile imeongezeka mno.
As we speak kuna vijana wengi sana hawapo nchini na hawawezi kurudi kwa ajili ya kuhofia usalama wao.
Wapo wengine wengi hawakukimbia nchini, waliondoka kwa sababu zao binafsi, lakini wakiwa nje wamekutana na viashiria vingi vya usalama wao pindi watakaporejea nchini!!
Wengine walijaribu kurudi hatujawaona mpaka leo!!💔
Hadi kufikia 2030 Hii idadi itaongezeka sana kwakuwa watawala wamekataa kubadilika!!
Bwana eeee!, TUSITISHANE. Sisi, ni NCHI HURU. Hata kama UAMUZI wa Umoja wa ULAYA ni wa MWISHO, WATUACHE na mambo yetu. Mbona sisi HATUINGILII MAMBO YAO?
Ukisoma kuwa idadi ya watu imefikia milioni 70.4, usisahau kusoma pia kuwa tunatumia zaidi trillion mbili kwa mwaka kugharamia safari za viongozi na kuwanunulia magari ya kutembelea.
Ni muhimu ukasoma pia kuwa japo tuna wanafunzi milioni 11 kwenye shule za msingi za umma pekee, kila somo lina wastani wa walimu elfu 27 tu.
Ukiunganisha nukta vizuri utaelewa tunakoelekea kama taifa.
Pengine utaelewa pia kwa nini ni ajabu kiongozi wa hii nchi kubeba mkoba wa millioni 20 au kuvaa saa ya milioni 130.
KATIKA nchi ambayo Bima ya AFYA ni KITUKO kutenga TRILLION 1 kwa ajili ya SAFARI za nje ni DHIHAKA na Matusi kwa WATANZANIA WOTE: Huu ni Uhaini wa KIUCHUMI!
Kama ilivyo kawaida yao ya kutumia mabavu. Wananchi walipigwa mabomu ya machozi ya kutosha.
Kitendawili kimebaki kijana aliyekuwa amebeba miche ya nyanya akipeleka kuotesha ktk bustani yake; Polisi HASSAN amemuuwa kwa kumgonga kwa makusudi akidhani alibeba mirungi. Raia wanasema
@chapanombombwi Sijui sana siasa ila msigwa naweza mfananisha na malaya tu anamuacha mke akimuona ana nawiri anapagawa kiufupi tamaa anayo ni kubwa kuliko maelezo alijua wale watampa cheo alipoona katumika bure anarudi atie huruma
Mwigulu Wambie Watanzania nani huyo alimpiga Lissu risasi ili ionekane ni serikali?
Tangu mwaka 2017 Mpaka sasa mmechukua hatua gani?
Je hao waliompiga risasi Lissu ili ionekane serikali ndio waliomfukuza Lissu bungeni? Tena kinyume cha sheria?
Je hao watu ndio walimnyima Lissu pesa ya matibabu ambayo, alitakiwa kupewa kisheria? Mpaka leo?
Je hao ndio walimnyima Lissu kiinua mgongo chake ?
Je hao watu ndio waliondoa polisi wanaolinda nyumba za serikali na kuacha geti wazi?
Je hao watu ndio wamemkamata Lissu na kumpa kesi ya uongo ya uhaini?
Tatizo mnafikiri Watanzania ni wajinga kama nyie.
Mwenye ile video ya Zitto Kabwe akiwahakikishia CCm kuwa wasijali hakuna maandamano yatatokea kwenye uchaguzi sababu kuna kimoja tu Tanzania kinachoweza kuitishisha maandamano na chama hiko ni ACt na wao wanashiriki uchaguzi. Naomba nitumie hiyo video WhatsApp +1 424 537 3057
Hawa wote watu waliamini ni MAJASUSI, moja Jasusi Bamia, Mwingine Jasusi La Telegram
Nyakati zimekuja kutuambia ni Wasakatonge tu, kinachoniuma mimi washikaji zangu walinunua vitabu vya Yericko na wengine walililipia Telegram kwa Buyobe,
Tunachezea sana hela zetu vijana 😢 😭
Mkoloni mweupe alitufunga minyororo na kutumikisha, Samia mweusi mwenzetu anatupiga risasi za kichwa na kutuua kabisa.
Namshawishije mwanangu kuamini kuwa Samia mweusi ni bora kuliko mkoloni mweupe?
Kwa Mujibu wa @HecheJohn Makamu Mwenyekiti @ChademaTZ2 ni kwamba hali ya kiafya ya @TunduALissu ni mbaya, Ana maumivu makali sana ya Tumbo.
Magereza awajatoa taarifa yoyote kuhusu changamoto ya Afya anayokabiliwa nayo Lissu, na kueleza kama amepata matibabu yoyote kutokana na changamoto hiyo
Warejeshe kutoka kwenye makalio na wakati wapo nyumbani hakuna ajira?mmeharibu nchi, hakuna wawekezaji wa maana sababu ya political instability.
Hakuna mwekezaji anaweza kuwekeza pesa ya maana TZ kwa sasa bila mabadiliko makubwa ya kisiasa na October 29 kuwa resolved maana mwekezaji mwenye akili timamu anajua kuna mawili tu yatakayotokea Tz, either complete overhaul ya siasa, overhaul ambayo italeta haki kwenye nchi au ni machafuko yanakuja…..
Nguvu ya umma imeleta majibu haya. Ofisi ya umma haitakiwi kukurupuka.
Huu ni ushahidi wa wazi kuwa kulikuwa na bado kuna nia ovu.
Ukuacha hili bado lisemwalo lipo; MPANGO WA KUMKAMATA HECHE haukubaliki. Mtasababisha maafa makubwa na kisasi kwa waliohusika na na wanaofanana nao.
Mzee Warioba alipoongea juzi kuwa October 29 tume ndio ilipiga kura hakukosea na ushahidi huu hapa.
Nilishaposti hizi video instagram baada ya mauaji ya October 29.
Embu cheki, kipindi nchi nzima iko kwenye darkness Tume ya uchaguzi na CCM ndio walikuwa wanafanya kazi hii.
Uchaguzi wa Octover 29 2025 ni null and void. Hatuutambui.