Kuna form flan, kazi ya hiyo form ni ku-identify risk kabla ya kuingia in marriage.
Somehow useful kama unataka kujua partner ulienae mkiingia kwenye ndoa nn mtegemee.
Unaweza pitia mwenyewe then ukaona the results.
https://t.co/jPbIWqqMb9
Kama wewe ni Mtanzania diaspora na unaumia na mauaji ya October 29 ila mpaka leo haujatuma chochote kwa Chadema jijue wewe ni sehemu ya tatizo.
Chadema wanahitaji pesa ili kutusaidia Watanzania kupata haki. Hawalipwi ruzuku, wanatutegemea sisi wananchi.
Leo nimewatumia $1,000. Wewe diaspora mwenzangu ukiwatumia hata $10 inatosha.
🏆 Referee announced for 2026 #SuperCup!
We're pleased to share that Somali referee Omar Artan will officiate the highly anticipated match between PSG and Aston Villa in Salzburg.
The power of social media. This single post got the seller to take back the fake bag they sold me, issue a refund, an apology and $2,000 in settlement. They made me sign a bunch of NDA papers though.
Chezea mpare, haki nilikuwa naweweseka, natapeliwaje kifala vile…..
Kwenye hii $2,000 niliyolipwa $1,000 nawatumia Chadema. $1,000 natuma back to Tz kwa ajili ya school fees za watoto wa ndugu….
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
I was confident I could of played a major part this summer for my country after the season I’ve had. I’ve been left shocked and gutted by the decision.
I’ve loved nothing more than putting that shirt on and representing my country over the years.
I wish the players, all the best this summer 🏴
BODA BODA wa Mbweni heshima yenu wanangu-wamewafukuzia watekaji mpaka wanaimgia nao kwenye kambi ya usalama wa taifa.
Baada ya kuona mnaweza kuwafikia wakaamua kusimamisha gari na wote wakatoka na bunduki kuanza kuwashambulia.
Wakati wote wanawashambulia na nyie mnakimbia huku nyuma mliokoa maisha ya DJUMBE.
MUNGU AWABARIKI WANANGU NA KAZI ZENU NA FAMILIA ZENU.🙏🏾
Siku huyu mzee akifa inabidi msiba ufanyike mwezi mzima.
Sidhani kama Tanzania ina Mzalendo zaidi ya huyu Mzee…. Mzee anaji risk maisha yake ili tu kuisaidia nchi, hana chochote anachopata zaidi ya kupoteza.
Nikiangalia anachofanya huyu mzee nazidi kufarijika kuwa I did the right thing kuacha biashara yangu iliyokuwa inanipa pesa nyingi ili kuwapigania watu ambao wamenipa platform.
Imagine kama Tanzania ingekuwa na wazee kama hawa hata 5 tu. Ila ndo hivyo Warioba yupo peke yake, wengine wote either dead or comprised.
Tundu Lissu alitaka Wajumbe wa Tume wasiteuliwe na Rais. Alidai kuwepo na Michakato Huru ya kuwapata Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi, ili tuwe na Tume Huru, ya Haki na yeye kuaminika. Je alifanya kosa gani hapo?. Mwachieni aendelee na shughuri zake!!.
#FreeTunduLisuu
Nduli Idd Amin Mama hataki kesi ya Uhaini iendelee lakin pia hataki kesi ifutwe.
Anatumia Mahakama kumkandamiza Mhe. Lissu kwa kumnyima Haki zake za msingi. #FreeTunduLissu
To our fallen heroes, tutawakumbuka daima.
Haitafutika katika historia ya Taifa letu kuwa mliuwawa kikatili kwa risasi za moto mkipigania uhuru na utu wetu.
M/Mungu azijalie faraja na nafuu familia zenu, na atusaidie kupaya haki sote kama Taifa.
#MO29#MO29
tume ya chande siyo tu imewachora watanzania kama mijitu fulani mijinga na isiyokuwa na uwezo wa kufanya ‘rational thinking,’ lakini pia kama mikatili iliyodhamiria kusababisha maafa. zaidi 👇
I've created a full thread, which details how our team at @Cen4infoRes documented 180+ videos showing violence, primarily by police and adjacent forces, against civilians.
Many cases we hand reviewed were fatalities caused by gunshot wounds to the head. https://t.co/G96Bc2YDBG
Hi @LazaroNyalandu, given your statements on Sky News to @BarbaraGSerra, I'd be happy to run you through this report from @Cen4infoRes which verified 180+ videos showing the shooting and violence by Tanzanian Government forces.
You can read it here: https://t.co/FbSoaOb5X0
#TanzaniaMassacre by tyrant @SuluhuSamia!
@LazaroNyalandu & whoever sent you to defend nonsense answer the simple question by @BarbaraGSerra: Who was responsible for shooting to kill around 500 people and on whose order?
Simple as that. Who gave the shoot-to-kill order?
At least 518 people were killed in violence that broke out during Tanzania's elections last October, a government-appointed commission of inquiry said on Thursday, in the first official acknowledgment of the scale of the deadly unrest. https://t.co/ZZfL96d0iZ
Uadilifu na kujiheshimu ni tunu kubwa sana! Pale mtu mzima unapojitoa ufahamu, ukakosa haya hata kuuza utu wako kwa vipande thelathini vya fedha kama Yuda Iskariote, unakuwa umejidhalilisha na kupoteza hadhi yako. Je, kweli unapata usingizi wa amani?