Haki za kiuchumi na kijamii (ICESCR) ziko hatarini wakati mradi mkubwa wa mafuta unaposababisha mfumuko wa bei za ardhi na vyakula kwenye maeneo ya mradi, na kuwaumiza raia wa kiasili wenye vipato duni na dhaifu. #EACOPniTishio
Maeneo ya makaburi ya mababu, matambiko, na urithi wa kihistoria yameharibiwa kupita ujenzi wa EACOP. Haki za kitamaduni za jamii za asili zilizolindwa na mikataba ya kimataifa zimepukutishwa kwa jina la mabomba ya mafuta. #EACOPniTishio
Watoto na wazee ndio waathirika wakuu wa uhamishaji wa kulazimishwa wa kupisha EACOP. Kuvurugika kwa mifumo ya shule na huduma za afya za karibu wakati wa kuhama ni ukiukwaji wa wazi wa haki za makundi haya maalum na tegemezi. #EACOPniTishio
Mifumo ya bima ya kimataifa inayokubali kukatia bima mradi wa EACOP inapaswa kutambua kuwa inafadhili mradi unaoweka hatarini haki ya kupata maji safi kwa zaidi ya watu milioni 40 katika ukanda wa Afrika Mashariki. #EACOPniTishio
Kwenye utawala wa Samia, wananchi wameshuhudia maamuzi mazito kama uuzaji wa bandari na rasilimali yakifanyika bila sauti ya Tanganyika kusikika. Hili limechochea hasira na hitaji la Serikali ya Tanganyika! #KatibaMpya
Tanganyika haitaki tena kuitwa jina la kufikirika. Sisi ni Watanganyika na tuna haki ya kuwa na katiba yetu, serikali yetu na mipaka yetu. Siku za kujificha nyuma ya mgongo wa Muungano zimekwisha! #KatibaMpya
Hatuwezi kuendelea na Muungano ambao Tanganyika inagharimia kila kitu huku ikinyimwa haki ya kuwa na Serikali yake. Huu ni ukoloni mamboleo unaofanywa na viongozi wetu wenyewe. Amkeni! #KatibaMpya
Tundu Lissu; Waheshimiwa majaji mkiona navuta mguu na chechemea ni kwa sababu ya tukio hilo. Nikiwa hospitalini tarehe 29 June 2019 aliyekuwa spika wa bunge marehemu Jobu Ndugai akatangaza kunifuta ubunge, kwa kuwa nilikuwa mtoro, sijaonekana bungeni kwa miaka miwili. Miaka miwili inafika hajui nilipo. Ndio maneno aliyoyasema bungeni. Hiyo ndio sababu iliyopelekea nisimalize term ya pili ya ubunge wangu.
Muungano wa sasa hivi umeficha utambulisho wa Tanganyika huku Zanzibar ikiwa na Serikali yake. Hii ni dhuluma ya waziwazi. Tunataka haki sawa: Serikali ya Tanganyika irudi mara moja! #KatibaMpya
Hatutaki tena usanii wa kisiasa. Wananchi wa Tanganyika wanataka Serikali yao inayotambulika, yenye rasilimali zao na Bunge lao. Acheni kuvaa kanzu ya Tanganyika kwa jina la Muungano! #KatibaMpya
Kama Muungano wa Serikali Tatu unakataliwa na watawala, basi mbadala pekee uliopo ni Muungano wa Mkataba au kuvunja kabisa mkataba huu uliopitwa na wakati. Hakuna njia ya mkato! #KatibaMpya
Kwa nini Tanganyika isiwe na serikali yake ndani ya Muungano? Huu ugomvi wa miaka 60 wa mfumo wa Serikali Mbili umefika mwisho. Suluhu ni Serikali Tatu au kila mtu ashike njia yake! #KatibaMpya
Wazanzibari wanataka mamlaka yao kamili na Watanganyika wanataka Tanganyika yao! Tatizo liko wapi kuwapa wananchi wanachotaka? Mfumo huu wa sasa ni wa kulinda walaji wachache! #KatibaMpya
1.Njia ndefu ya kupita yenye misukosuko na dhoruba huwa ni chanzo cha mafunzo kwako na jamii
2.Hivyo kesi TAL dhidi ya Jamhuri ni sehemu ya darasa kwa jamii yetu na Dunia
3.Kesi yake kuendelea kurindima mahakama kuu ni kutoa elimu kwa taifa na sio KUMKOMOA #TAL#FreeTunduLissu
Leo ni siku muhimu kwa Tanzania na wapenda haki Duniani.
Asanteni Wananchi na wanachama wa CHADEMA kanda ya Pwani kwa kujitokeza ktk kushuhudia siku hii ya kihistoria.
Mwenyezi Mungu amtangulie Tundu Antipas Lissu.
Dear God mwaka huu nimepoteza Mapambano mengi sana, Cr7 hajabeba World Cup, Timu ninayoichukia Arsenal imebeba EPL,
It is me again Dear God usinichoke, make me Smile again, It is Tundu Lissu against the System, Let him win sio kwa huruma bali kwa HAKI.
🙏 🙏 🙏
Tunaomba kila mmoja wetu, kulingana na imani yake, amuweke Mwenyekiti wetu, Tundu Lissu katika sala na maombi usiku wa leo, ili kesho ikawe heri. Kwa uzoefu, usiku wa kuamkia maamuzi ya Majaji huwa mrefu na mgumu mno kwa mtu anayesubiri kuona milango ya uhuru #FreeTunduLissu
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. John Heche akiwasili mahakama Kuu Asubuhi hii.
Leo mahakama itasema kama Tundu Lissu anakesi ya kujibu au laa. #FreeTunduLissu