TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...
Bodaboda apa amekwaruza Sport RANGE ya mwaka 2022 imebidi nishuke nampa Buku mbili yake mimi nisepe anakataa😂anasema eti ngoja kwanza tusuluishe, sasa asuluhishe na nani…
Leo nikiwa hapa Reno,Nevada. Nikitumia Uber, kama kawaida yangu kupenda kujifunza nikanzisha stori aisee Dreva wangu alikuwa ni mu-Bibi.
Nikajitamburisha kwake Mimi naitwa @MalemboLE ….kutoka Afrika Nchini Tanzania nikawa namwambia sifa za Afrika akaniambia amewahi kufika Kenya Mwaka 1986.
Maswali yangu hayakuishia hapo…zaidi nimejifunza tufanye kazi angalia Umri wake na still anapambana, KIJANA AMKA KUMEKUCHA.