Binadamu Ni Kama mti ambao ukisha kuwa unaweza kuukata na ukatengenezea mbao nzuri kwaajili ya furnitures, lakin pia mabanzi kwaajili ya kutengenezea vibanda au kuni kwaajili ya Moto.
It's jus a matter of time, and we need to know that "time is the best teacher"
Tuishi vizr n wat
Nadhani ingependeza zaidi, ingewekwa mjadala wa kitaifa, kila mgombea awaeleze wananchi sera zake na aseme atatekeleza kwa muda gani, baada ya kuingia madarakani, na kwa pesa zipi. Ili akishindwa kutekeleza, akubali hatua za kisheria zichukuliwe. @TanganyikaLaw@TumeUchaguziTZ
Tumeona kwenye majukwaa yote, kinacho ongelewa sana ni Amani. Ni vizuri sana na pia ni sahihi. Ila ni bora zaidi tuanze kuongelea haki. Hakuna Amani bila Haki.
“No JUTICE no Peace” Martin Luther King Jr.
@TanganyikaLaw, @humanrightstz ,@humanrightstz@TumeUchaguziTZ
Hon. Raila Amolo Odinga. Your life was really dedicated to save the people and the African Continent. Good enough you have left footprints.💡
Reast in Peace, The President of the people of Kenya 🕊️
A hero is gone, democracy is gone. A human rights champion, reforms fighter and a Father. A leader whose influence reached far beyond titles.
We have learnt from you that, really democracy requires, patience, time, sacrifice and goodwill. We will honor your life and legacy.
Sijajua ni sababu gani INEC wamezingatia kutoa haya maamuzi. Na sizani kama kuna sheri yeyotes inayowanyima watu kuwa na simu zao wakati wa uchaguzi. Na hili halijawai kutokea miaka yote ya uchaguzi. Swali ni kwanini uchaguzi wa sasa? Nini kimepangwa?….
Kifungu no. 91 ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, The Criminal Procedure Act. Inamruhusu mwendesha mashtaka (DPP) kufuta case muda wowote akijiskia tu kutokuendelea na case hiyo.Sasa hii ni michezo tu kama michezo mingine.
Jiulize mzee wawatu atafidiwa nn mda wote huu.
@godbless_lema Hongera kwa kusimamia kura vizuri. Wewe ni kiongozi. Haki imeshida, tujenge CHAMA, tujenge NCHI. TZ inategemea wate brave na wapambanaji kama wewe na LISSU
@Lissu_2025 @godbless_lema I wish to express my gratitude and sincerely, God did this. Mwenye haki wa Bwana ataishi kwa Imani. Tumekuamini sana, sasa tunasubiri mabadiliko. #STRONGER TOGETHER