Nimejiwekea kanuni kwenye maisha yangu sitaki kumdharau mtu yoyote, sitaki kumshusha mtu yoyote ninae muona mbele yangu kwa kigezo cha nguo yake aliyovaa, kwa kigezo cha elimu yake .Sitaki kuingia uko kwa sababu sijui huju mtu amepangwa kuwa nani kesho...
Best Six documentaries you MUST WATCH This Week.
1. From Latin America To Europe - The Dangerous Schemes of Human Traffickers | DW Documentary
2. Blood, Sweat & Sugar: How Sugar was Built On a Global System of Slavery | Al-Jazeera Documentary
3. Mystery Mummies of New Guinea | National Geographic
4. The Most Elusive Man: Finding Memo Fantasma: The Illegal Ghost of Colombia | The Invisibles - Banijay Crime Documentary
5. Redeemer Baptist Church Uncovered: Dramatic Escape From an Authoritarian Church | 60 Minutes Australia
6. Forced Into Motherhood: The Land of The Not So Free | ENDEVR Documentary
Nilikuwa mzungumzaji kwenye tukio lililokutanisha vijana wabunifu.
Nikiwa kama kijana mchechemuzi kwenye masuala ya kiteknolojia nilifarijika sana kuwa sehemu ya tukio hili adhimu lililoandaliwa na vijana wenzangu.
Vijana tunaweza tukishikana mikono
Hatunyeshewi mvua moja. Wengine wana miamvuli, wengine wako ndani na wengine wako nje bila chochote. Ndo mana tunatakiwa kuwa na hekima. Usihukumu haraka na jitahidi kuwa muelewa. Hautokuja kujua uzito wa mvua inayonyesha kwa mwenzio hadi uwe mahali alipo ikimnyeshea...
Unavyozidi ku consume chakula,ndivyo utanenepa,unavyozidi kutumia vilevi ndivyo unavyokua Mlevi,unavyozidi kufanya mazoezi ndivyo unavyozidi kuimarika kimwili na kiakili,unavyozidi kulinda amani yako ndivyo unapata utulivu wa nafsi.
Imagine unavyozidi kusoma neno la Mungu.🙌🏼
Take your best friends and build a team,work on something great that will make your life easy.
That way you will always be near because you have the reasons to communicate everytime.
You can't be gossiping all day,at some point you will get tired.
Good morning fam.
In the book of MALACHI 3:10 the Bible says
"I will pour out so much blessing that there will not be room enough to store it." May this be your story today!
Unapoianza wiki yako leo, ninakutia moyo kuwa Mungu yuko pamoja nawe. Mungu wetu wa mbinguni azidi kukubariki na kukutunza mmoja, litaondoka kwa milango saba.
Mungu wetu wa mbinguni azidi kukubariki na kukutunza.
Hakuna miaka mingi mbele kutoka leo. Pombe inatengeneza janga ambalo wengi hawalioni. Ikiwa mwenendo wa sasa utaendelea, itaua watu wengi zaidi, kuvunja familia nyingi zaidi, na kuchochea kuporomoka kwa maadili ya jamii kwa kiwango ambacho kitakuwa tishio kubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Inatisha sana.