@SKMediaGlobal Mtoto wa kitanzania, anayetokea kwenye zile familia zetu, asome au aishi kwa utii na nidhamu bila viboko kidogo.. muujiza !
Viboko vina nafasi yake ktk malezi vikitumika kwa usahihi. Hoja ilipaswa kuwa kusimamia utekelezaji sahihi wa adhabu ya viboko kwa watoto.