On February 4, 2024, TIB Development Bank's Acting Managing Director, Lilian Mbassy, has been awarded outstanding leadership for being an inspirational figure for women in the banking sector.
The award was presented to her by the Tanzania Bankers Association (TBA).
Tukiwa katika maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani, huu ni ujumbe kwa wanawake wote kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji,Benki ya Maendeleo TIB,Bi Lilian Mbassy.
.
Kauli Mbiu: "WEKEZA KWA WANAWAKE KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA KWA USTAWI WA JAMII"
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo wilaya ya Makete,Njombe, amezindua mradi wa kufua umeme, Ijangala Mini Hydropower wenye kilo watt 360
Mradi huo uliofadhiliwa na Benki ya Maendeleo TIB, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na mashirika ya kimataifa ya UNIDO na UNCDF
Benki ya Maendeleo TIB imekutana na wanachama wa Jukwaa la Wahariri kwny semina ya siku moja ikiwa ni utekelezaji wa Awamu ya Pili ya Mkakati wa Mawasiliano kwa Umma Kuhusu Mafanikio Katika Utendaji wa Taasisi na Mashirika ya Umma nchini unaoratibiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, Tanzania.