Tukutane saa moja kamili usiku leo kwenye Insta Live yetu na @aytanzania yaani unapata burudani na zawadi juu huku ukiwa na spidi kali ya #AirtelSUPA4G#SUPARAP @AyTanzania @Tz_Airtel@AirtelTanzania
MBWA WA BARACK OBAMA AFARIKI DUNIA KWA KANSA
Kupitia ukurasa wake wa twitter aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama ametujuza taarifa ya kumpoteza rafiki yake kipenzi Bo ambaye ni Mbwa wake. Alisumbuliwa na maradhi ya kansa kwa muda mpaka umauti ulipomfika.
“Kuhusu ucheleweshwaji wa malipo kwa Wastaafu hili lipo na linanisikitisha sana, natamani kuona Mtu akistaafu analipwa mara moja badala ya kuzungushwa, wale Wafanyakazi ambao wamerundikana tutaanza kuwalipa mafao yao kuanzia mwezi huu na kila mwezi”—Rais Samia @SuluhuSamia
"Mimi binafsi nilitamani kuona mishahara yenu inapandishwa mwaka huu lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeshindwa, naomba niwahakikishie kuwa tarehe kama ya leo mwakani nitakuja na package nzuri ya kupandIsha mishahara" Rais @SuluhuSamia
"Kuhusu Bima ya Afya, serikali tumepokea ombi lenu la kuwa kijana wa umri wa miaka 18 bado ni tegemezi kwa wazazi hivyo tumeamua kuongeza umri wa utegemezi hadi kufikia umri wa miaka 21"Rais @SuluhuSamia
Mzee Mwinyi achukuliwe kwa tahadhari kubwa. Aliwahi kumsifu Magufuli kuwa ni Rais bora kuliko watangulizi wake wote, hata Baba wa Taifa na yeye mwenyewe. Rais Samia ameanza kwa kuhoji 'ubora' huo na Mzee Mwinyi anamsifu kwa kuanza vizuri. Mojawapo kati ya hayo mawili sio la kweli
"Vyombo vya habari vilivyofungiwa vifungulieni ila tu wafate kanuni na sheria za serikali, tusijewapa nafasi yakusema tunanyonya uhuru wa vyombo vya habari" Rais Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia
"Nachotaka kuwaambia watanzania Dokta JPM ameitwa na Mungu na ameitika na leo tunaenda kumsitiri na tunachoenda kusitiri ni mwili tu" Mh. Rais Samia Suluhu @SuluhuSamia
"Nataka niwahakikishie kinachofuata ni kutekelezwa kwa ahadi zote zilizopo kwenye ilani ya CCM na zile ahadi alizoweka mwenyewe na hii sio kwa wana chato pekee bali ni Tanzania nzima" Mh. Samia Suluhu @SuluhuSamia
"Na labda nilidhani nitarudi tena Chato nikiwa na mwenyeji wangu lakini kinyume chake tumekuja Chato kwa madhumuni ya kumueka kwenye Nyumba yake ya milele" Mh. Rais Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia