@MeMzimbabwe Mimi nakuunga mkono mema mengi amefanya anastahili pongezi. Ila kuna mtoa hoja mmoja amesema tuna vyuo vikuu vingi ila hatuzalishi wataalam wenye uwezo wa kusimamia Rasilimali zetu. Jibu hapana tatzo lipo kweny kuteuana kwa kuangaia CCM
@SuluhuSamia Hakika hongera kwako mh Rais wetu kipenzi cha watanzania. Kwa maono yako kwani nafikil tunamengi ya kujifunz mama Taifa na Africa kwa ujumla. Haikuwa rahisi kufika Fainal
@RaiswaYanga Kwa approach anayoitumia Fei lengo lake huenda likatimia. Kwani anajitokeza pale tu yanga inapocheza mchezo muhimu kama wa leo. Mkuuu huna haja ya kuwaza fei tuangalie fainal...
Jumapili iliyopita tulikua na nyinyi tukiwashangilia kwa nguvu katika mchezo wenu wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho. Leo hamtosikia sauti zetu nyingi lakini tambueni kuwa dua zetu zipo na nyinyi. Kila la heri @yanga katika mchezo wa leo.
#Whynotyou?
@RaiswaYanga @KOMBAFrank3 Ukwel kosa la Feitoto ni kutokujua utawala na nina mashaka na kama amefuta ujinga hata kumaliza darasa la Saba. Kuna shidah mahala fulan