"Haki unazozipata nje ya mtandao unatakiwa pia uzipate mtandaoni, kuna vitu vingi ambavyo sisi tunakuwa washirika wa kuhalalisha uminywaji wa haki zetu mtandaoni, moja kuja kuonyesha kwamba kile kinachofanyika nje ya mtandao siyo tatizo isipokuwa kikifanyika mtandaoni ndiyo tatizo, tunakuwa tunawapa mamlaka kubwa kupitiliza wanasiasa kuweza kuitumia dhidi yetu" -Maxence Melo
Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amezungumza hayo wakati alipokuwa kwenye mahojiano maalumu na East Afrika Radio kupitia kipindi cha Supa Breakfast leo, Jumanne Desemba 12.2023
Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Tanzania, Joseph Moses Oleshangay, ametunukiwa Tuzo ya Haki za Binaadamu ya mji wa Weimar nchini Ujerumani. @Oleshangay ametunikiwa tuzo hilo kutokana na juhudi zake za kutetea jamii ya wamasai ambao kwa muda wamehangaishwa na serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu
#MwanzoHabari
Tazama: https://t.co/MQsXGiN7Ph
HII STULI IMETOWEKA HANANG
taarifa zilizonifikia muda huu Mama Aweda ambaye ndiyo mmiliki wa Nyumba ambayo walikuwa wanatoa tope ndani huko KATESH
anasema baada ya Stuli yake kutolewa ndani ilichukuliwa na kutolewa nje Kupigwa picha na Vijana wa UVCCM hakuiona tena hadi leo.
Mama Aweda anaomba tupaze Sauti warudishe Stuli yake.
Shikamoo siasa..............................!
Mzani halisi ndiyo hii na majibu usinipe mimi hayo ila baki nayo baada ya Kupima ktk mzani wako.
Ila ukipata majibu usiyatupe tafadhali,bali yafanyia kazi please.
UTAJUA UJUI
"Ndio maana wanasiasa/ watawala hawapendi sana mijadala, wanajuwa kwamba wakiruhusu mijadala huku watakuwa wanapingwa, wao wanataka kueneza mawazo kwamba wanachosema wao ndo ukweli, ndio maana wanachosema jana kinagongana na wanachosema leo, na ndio sifa moja wapo kwa Mwanasiasa, ukiwa kinyume cha hapo huwezi kuwa Mwanasiasa" -Prof. Shivji
Prof. Issa Shivji amezungumza hayo wakati akitoa mada kwenye mdahalo wa miaka 62 ya Uhuru wa iliyokuwa Jamhuri ya Tanganyika (sasa Tanzania Bara)
‼️Nawapa siri ‼️
Hawasemi nchi gani alikuwepo Dr Mpango kwa sababu tutaenda kupitia media za kimataifa kama @BBCAfrica kutafuta maelezo kutoka serikali husika watueleze alikuwa hapo kwa kazi gani!
Hamtakaa kujibiwa hilo 😃
Ndo mjue “kelele” zetu zina mantiki
#TutaelewanaTu
‼️Happy Independence Day TANGANYIKA ‼️
FYI international media and community and @Google today is the independence day of Tanganyika - in 1961 there was no Tanzania‼️
#Fact Tanzania is the Union of Tanganyika and Zanzibar in 1964 so what we celebrate as a union is Union Day in April
The flag that was hoisted after the British handed over 62 years ago was this 👇🏾 below and it has a meaning for us in Tanganyika, in Zanzibar it’s just a public holiday no parade, fanfare!
There is no Tanzania without Tanganyika but there was Tanganyika before Tanzania
Looking forward to y’all staying accurate 🤨
Si hivyo sasa,Simple tu, MMEKUFA..?
Mbona mambo yameenda Vizuri,wagonjwa wamefarijika na Kila wodi walikuwa wanagombea na Kumuita Mbowe afike kuwaona pia.
Wagonjwa wamefarijika,Sasa Ma CCM mmepungukiwa na nini...?
Shenzi sanaaaaaa..!