@JamiiForums Mdude, Kibao Mzee na Padre KITIMA Je,hawastahili kulindwa kwa GHARAMA yoyote ???? NA SISI WATZ WA LEO HATUKUBALI...Wakristo na wakristu kwa pamoja tuseme,AMINA.AMINA.AMINA.
@mwigulunchemba1 LAKINI KWETU SISI MABEBERU MTAKUJA KUKOPA HUKU MKIPIGA MAGOTI NA MAKOFI NA KUINAMA...Daah !!! Maskini lambalamba ni bonge la MTUMWA πππ¬π TUTAELEWANA.HAPANA MSIMAMO HAPOπ€«π€«π€«π€«π€«π€«π€«
@MwananchiNews WA JK MSOGA KAMA WOTE WAKO IKULU TENA WAZIWAZI.Hongera sana jk umetawala awamu mbili TOFAUTI kupitia mlango WA nyumaπ€¦π€¦π€¦waswahili hawana AIBU KABISA π€¦π€¦π€¦
@millardayo UCHAGUZI NI FURSA YA WATAWALA KUENDELEA KUNYONYA.Vijana mtaani hawana la kupoteza...zaidi vijana ndio wanaopotezwa..SIKITIKO KUU π€¦πππππ₯±π€«
@MwananchiNews IMERATIBIWA KWELI KWELI...Tusubiri KWENYE ground yaani majukwaani...ninyi watu mnadhani watanzania WA Leo ni wale WA ZAMANI ???????? NAWAHURUMIA WANASIASA WAGANGA NJAA.Kumbukeni ACT Wazalendo ina miaka mingapi na je,ina USHAWISHI upi HASA huku Tanganyika/bara ???? Aya !
@ikulumawasliano USHAURI WA BURE: TUSITUMIE GHARAMA KUPAMBANA NA NZI WENGI BILA SABABU BALI TUPAMBANE KWELIKWELI NA VIVUTIO AU VYANZO VYA NZI WENGI AJABU chumbani kwetu....Tafakari, chukua hatari sahihi na adilifu upesi sana. Utanishukuru bureeeee ππππ€£
@TheChanzo ACHENI WATU WA NJE WAJE KWA WINGI SANA KWENYE KESI ZA LISSU,NI NAMNA YA KUKUZA UTALII WA NJE YAANI NI MKAKATI B WA The Royal Tour ππ¬πππ HOJA NI: Aliyeleta kinyesi sebuleni NDIYE amekaribisha nzi wengi ndani ya nyumba na vyumbani π€¦π€¦π€«π₯±π JIKOSOE?
@DiraYaSamia@SuluhuSamia Aaaahaaaa !!!!!? Jakaya K sasa hivi kicheko hadi gego la MWISHO.Sababu bibie Yuko Ikulu LAKINI wakati WA MAGUFULI alikuwa WA kulalamika lalamika na KUTOA vijineno kama " Kuna maisha baada ya kustaafu,hoja haipigwi rungu n.k." SA IZI aaa! shearing!!! WA pwani HAWA ππ€«π€¦πΉ
@millardayo SWALI:Mwanaharakati ni mvurugaji WA utulivu ???? N.Mandela na wengine wengi walifanya harakati au SIYO ???? Kazi kwenu walimu, wakufunzi, watoa na waendesha midaharo ya kiswahili fasaha !!!!!! NAOMBA TUSIPOTOSHE UKWELI WA KISWAHILI kwa Kila msamiati.
@MwananchiNews NIONAVYO NDANI YA MIOYO YA WATAWALA NA WAPAMBE WAO KAMA MZEE JK WA MSOGA NA Wengine wengi wasio na Toba;"ICC WATAPELEKWA WAOVU WENGI TOKA TZ NDANI YA MWAKA MMOJA UJAO".TUNZENI kumbukumbu.AMINA.