Tanzanian, today is good day, We are nolonger invincible to the world.
Our pain and our suffering is no longer being ignored by Western media.
American media is starting to care about our struggles.
We matter!!!!!
Thank you @nypost
https://t.co/oN0NjX064s
Asante MUNGU kwa kibali kuiona week hii mpya.
Nimelisha mtaa odds 76 & 15 week iliyoisha, naomba unipe kibali tena week hii mpya.
Furaha yangu kuona kuna watu wanaishi kwa mikeka ninayotoa mimi bure kila siku.
AMEN.๐
Tabia ya kurudi home nakuchungulia wamepika nini kama hukipendi unachomoka Na kwenda Kula mishikaki kwa mpemba sio uanaume,
Uanaume ni kusaidiana majukumu Na baba ako kama unapata chochote kitu Na still unaishi kwake.
Dunia isingeweza kwenda bila wanaume, Wanaume ndio msingi wa kujenga ulimwengu๐๐พ
Tuulinde uanaume kwa wivu mkubwa sana, Mwanaume aliumbwa kupambana kwa nguvu na akili ili kuijenga dunia mwanaume hakuumbwa kuja kushikwa kiuno na mwanaume mwenzake๐