Huyo mwanaume hapo anaitwa Vinicius Tobias raia wa Brazil, amecheza timu ya vijana ya Real Madrid (Castilla). Kwa sasa anakipiga Shaktar Donetsk
.
Hizo tattoo alizochora mkononi aliandika jina Meite ikiwa ni jina la mwanae ambae alimtaraji baada ya kuwa penzini na huyo msichana wa mbele hapo aitwae Ingrid Lima
.
Siku si nyingi Lima โamesheaโ ujumbe kwenye mitandao ya kijamii kuwa mtoto sio wa Vini Tobias baada ya vipimo vya DNA. Hata hivyo amejifungua wakiwa wameshaachana lakini ujauzito aliupata wakiwa pamoja
.
Mi nalala ila kuweni makini na mapenzi! ๐
โSIMBA WANATUFUNGA SABABU WANAKOCHA MWANAUME, NATAMANI WAWE NA KOCHA MWANAMKE TUONESHANE KAZiโ hii ni kauli kutoka kwenye kinywa cha mwanamke shupavu aliyeonekana kuchoka na kukataa tamaa baada ya timu yake kupoteza mbele ya Queens mwaka 2022 kwenye ligi kuu ya wanawakeโฆ๐๐พ
@privaldinho@Caamil8 Tunajua ni bosi wako, ila hio deposition ilikuwepo hata kabla ya yeye kuchukua nafasi hio, common now, you can do better than this @privaldinho
@privaldinho@privaldinho , ulikua mchambuzi na mwanahabari mzuri sana ulivokua clouds na kwengineko, i was reading most of your publications, tweets, comments, They actually made sense. but since umefanya hii kazi ya kishabiki, YOU HAVE LOST TASTE. Doesn't even suit you ,
@Mzeewajambia I think for the first time, i will agree with you, narejea ulichowai kusema
nyuma pale EFM, "utumishi wa chama msimbazi umefika
kikomo, He cant give us more that what he Already gave us "
@Decoull27@SilencerSnr Kuridhika au kutoridhika hio ju juu yako senior, ila mzigo unaendana kabisa na work load/day. so kama una options well and good, use ur options, but get off your high horse. you putting it in the court of public opinion is very unfair senior ๐
@stephen_masele The allegations of match fixing againts mamelodi sundowns from Yanga sc, are petty, baseless, weak and immature. Tanzania football stakeholders need to grow up and let go this nonsense topics that are just a publicity give-away.
@privaldinho@privaldinho , you are making me wonder if the situation was reversed, would you have given the same review on that post, anyway, i guess i have to give you the bennefit of the doubt sir.