@EsirEid Hakuna cha kujifunza, Mange tupo sahihi 100%. Binadamu akikosea atasemwa tu kwa kuwa yeye siyo Mungu. Hii tabia ya kiongozi akikosea asisemwe kwa kuheshimu nafasi yake ya uongozi ndo inazaa UCHAWA
Nimeona story IG, ikanifanya nikumbuke jambo 😂
Kuna mshua aliwahi kusafiri nje akaniachia gari lake nitumie kwa muda.
Kuna week moja nilikuwa na vita baridi na wife.
Sijui nini kilimtuma akakagua gari, akakuta chupi nyeupe seat ya nyuma😂
Na sikuwahi kubeba mtu nyuma
Hebu imagine,
Yaani Unapata PISI Kama hii halafu
The first thing you think of ni Kurecord
Video na KuPost Online? What a Shame.
Hamjui Kula KimyaKimya bila Kelele?
Nachoka Mimi😎