🔥 Karibu Golden Edge Market!
📢 Unatafuta biashara, elimu, na burudani kwa mtazamo wa kipekee? Uko mahali sahihi! Tunakuletea
✅ Mauzo na ofa spesho 🛍️
✅ Mbinu za biashara na ujasiriamali 📈
✅ Mijadala moto na trending topics 🎯
👉 Follow @GoldenEdgeMarket sasa na usikose
Nimekua mtu mzima sasa, na mara kwa mara huwa nasikia kauli kuwa mbwa ni waaminifu kuliko binadamu.
Nikiwa mtoto, tulikuwa na mbwa waliokuwa wa kipekee sana. Kila siku walitembea umbali wa takriban mita 500 kunifuata nikiwa natoka shule. Hawakukosa hata siku moja na nilikuwa nawakuta sehemu ileile wakinisubiria kwa uvumilivu kila siku.
Sikuwahi kuelewa uaminifu wao wala upendo wao usio na masharti kwa sisi binadamu tuliowajali na kuwapenda. Leo hii, ninapofikiria tukio hilo, naelewa zaidi maana ya uaminifu wa kweli ndani ya familia, na hata kwa marafiki.
Unauza lakini mauzo ni kidogo? Tunakufundisha jinsi ya kuongeza mauzo kwa kutumia WhatsApp, Instagram & Facebook. Kozi mpya ya ‘Increase Sales Mastery’ inapatikana sasa. Tuma ‘NATAKA
Tumeandika e-book ya Kiswahili: ‘Matumizi 50 ya AI Katika Maisha ya Kila Siku’ – kutoka kilimo hadi biashara. Ni bure kwa wanaojiunga na ukurasa wetu. Ni text whataApp https://t.co/UbpAtFGnOl
Unajua unaweza kutengeneza brand yako yote (logo, posts, brochures, nk) kwa Canva bila kulipia designer? Ukiwa na Canva Pro, mambo yanakuwa rahisi zaidi! DM kupata kozi ya Canva na ofa ya Pro.
Wafanyabiashara wengi bado hawajagundua kuwa wanaweza kutumia ChatGPT kuandika matangazo, kuunda maudhui, kujibu wateja na hata kupanga mikakati ya mauzo. Karibu Digital Edge Market tukufunze hatua kwa hatua.
Ukikata tamaa, unaonesha hukuwahi kuwa na nia ya dhati. Komaa, vumilia, pigania mpaka kieleweke — ndoto hazijengwi kwa urahisi bali kwa ujasiri na uthubutu!
Kama U.T.I yako haisikii dawa, wala kabla hujaja inbox kunambia kuwa una YUTIAI SUGU na ya muda mrefu
Andaa lita moja ya maji kwenye sufuria
Chukua majani ya mpera chemsha pamoja na limao (ondoa mbegu na maganda ya limao ili kuepuka dawa yako kuwa chungu)
Chemsha vyote kwa muda wa dakika kadhaa kisha ipua,
Utakunywa kutwa mara tatu, asubuhi mchana na jioni, nusu kikombe cha chai katika kila awamu inatosha
Formula hii haifai kwa mjamzito
Ukitaka package iliyoandaliwa tayari ipo Dm iko wazi🫵
Twende msituni.
Kila mtu ana idea — lakini si kila mtu ana startup inayofanikiwa.
Leo pata siri halisi za mafanikio ya startups — kutoka kwa hawa watabe
LIVE Leo | Saa 2 Usiku @HabariTech & Mr. Dastan (Zeno Pay)
Ungana nasi https://t.co/iVhCRXrekd
#StartupSuccess#SMEStories#BuildToLast