Umri unaenda, malengo hayatimii, majukumu ni mengi na kipato ni kidogo, presha za familia, ndugu na presha ya mafanikio ya marafiki na tunaofanana nao umri na mafaniko ya mitandaoni lakini sisi tumechagua kufanya ibada ndefu ya subra tukiamini Ipo siku tutatoboa.
Unaweza kukosea kwenye eneo moja la maisha na bado ukafanya vizuri kwenye maeneo mengine. Kwa nini kosa moja likutie unyonge kwenye maeneo mengine?
Unaweza kuwa na historia ya makosa, tena mabaya, na bado ukawa mtu mwingine tofauti kabisa leo. Kwa nini kunusa nusa mavi ya kale?
Women have sex with who they want, while men have sex with whoever is available. In the long run, men marry who they want, and women marry who’s available.
Sad reality…..
📚 SADAKA YA MALIMBUKO
Sadaka ya malimbuko kama itaendelea kutolewa iwe sehemu ya michango ya kanisa tuu kwaajili ya kusapoti kazi za kanisa, lakini haina maana kama ile ya ki Biblia wengi mnavyotarajia.
Ohh natoa ili ni barikiwe mara nisaidike na Mungu au Mungu alinde biashara yangu au mshahara wangu wa kwanza nimpe Mungu ndiyo unabarikiwa. UNAJIDANGANYA haiko hivyo ki Biblia.
Toa kwa kuwa una mpenda MUNGU, toa kwasababu ni maagizo ya kanisa unalo sali ili uwe muumini mwaminifu, lakini unakuwa unatoa kama michango mingine.
🔸️Kuna hizi sadaka kama
- Zaka
- Malimbuko
- Na sadaka nyingine nyingii zimepewa majina ki Biblia ya agano la kale na zimepewa baraka na laana zake na watu wanafundishwa hivyo kitu ambacho si sawa.
Hizi sadaka kama mmeamua kuziita malimbo au zaka mmeamua kuzipa jina lingine lolote hazitakiwi uziambatainishe na ahadi za baraka na ahadi za laana, ukifanya hivi unafanya utapeli, tunafanyiwa hivi sana kwa kuwa wengi hawasomi Biblia na wakisoma au wanaisoma ki dhebu au kidini.
Hizi sadaka zilisha kamilishwa hizi sadaka hazitolewi tena kwa sheria, ila toa kwa usahihi kwasababu una mpenda Mungu, wakati wao wanakutisha au wanakuahidi vitu ambavyo hukutakiwa kuwa navyo wewe ushasoma Biblia yako ukaelewa toa sasa kwa moyo wa kupenda kwa moyo wa hiari kama Daudi kwa kadri ya uwezo wako na zaidi ya uwezo wako. Usitoe kama una mtega/kubeti Mungu ili akulindie biashara au unaogopa laana.
Toa kwasababu Mungu ameshakulinda, Mungu ameshakubariki, Mungu ameshakutetea. Unakwenda kutoa ku appreciate kile alichokifanya katika maisha yako. Na kile utakacho kipeleka kitakuwa kina tafsiri ya kushukuru kazi ya msalaba aliyoifanya msalabani na kwa kufufuka kwake.
“Siku ubongo wako uta ondoa dhana ya kutegemea mtu au watu katika maendeleo yako,ukiamini kwamba hatima yako inakutegemea wewe,ukiamini kwamba Mungu ame kuumba na uwezo ndani yako ,huo ndio mwanzo safari yako ya kufanikiwa”
Somo:Kushughurikia kamba za kiroho zinazo kukwamisha kimfumo
-Kujua njia kamba za kiroho zinazoweza kukukwamisha
-Kujua namna yakushughurikia kamba za kiroho ili usikwamishwe kimfumo bali ufanikiwe kimfumo
Mthayo 21:5>
Zakalia 9:9
Mwlm Christopher mwakasege muda huu upendo tv
KUNENA KWA LUGHA
Practical Pneumatology
Glossolalia
Nakusalimu kwa jina la BWANA YESU. Niliahidi kuja andiko ili kuchagiza ufunuo juu ya matendo ya kunena kwa lugha. Biblia inasema, "mambo ya rohoni yanaeleweka kwa wenye roho tu." Karibu twende pamoja.
Uzi
Kwa neema ya Kristo na Ufunuo wa Roho Mtakatifu. Leo jioni Nitaandika Uzi Kuhusu "KUNENA KWA LUGHA". Watu wengi wanapenda kunena kwa lugha lakini hawajui na haiwafaidii kitu matokeo yake wanapata mapepo na roho chafu. Stay tuned, and Repost - Ubarikiwe! 🤗
JINSI YA KUPIMA MIUJIZA YA UPONYAJI KAMA YATOKANA NA MUNGU AU SHETANI.
🧵
Kijana mmoja alinikaribia akaniuliza swali mtumishi wee unamuonaje mtumishi fulani? Mbona watumishi wengi wanamuongelea vibaya kwamba anatumia nguvu za Shetani kufanya miujiza na uponyaji
Biblia inasema, tutaifahamu kweli ili tuwe huru. Ukweli mojawapo ni kwamba, Mtu hawezi kujua au kutofautisha umuhimu wa Nuru na nguvu yake kama hajawahi au hajui kabisa Giza. Sio rahisi kuishi kwa mafanikio katika ulimwengu huu bila kuzijua hila za gizani na mitego yake. #Ufahamu
Weekend hii nitaandika hapa makala (UZI) kuhusu Ulimwengu wa rohoni na jinsi ya kunufaika nao. Nitaandika kwa mtazamo wa Kibiblia. Tuombeane neema ya Mungu.
Stay Tuned!🤗
MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic yani hujui kubembeleza, utawezaje Mwanangu wakati kichwa kinawaka moto na maisha yanataka kupetiwa ili vitu viende.
Kuna wakati atakwambia hakuna Mwanaume busy kwa Mwanamke anayempenda lakini anasahau maisha ya Msela akishika simu sometimes kuna mchongo anaosikilizia anauchungulia kama umetiki, kuna wakati anawasha data sio kuchat bali kuona kama Email imejibiwa ama kuna tangazo la ajira.
MWANANGU kwasasa utaitwa kila jina, tushawahi shuhudia Diamond akiitwa Domo na sasa Mabinti wanasema ana lips denda, tushawahi shuhudia Wanetu wanaambiwa “Wewe sio type yangu” ila wapo busy kulamba vitambi vya Wakongwe na kujibebisha eti Dady, atasema sidate na Watoto ila analala na Mwanaume umri wa Babu yake.
WANANGU kama tunazitaka mali tutazipata kwenye hustle, kama tunaumizwa na hawa Mabinti na Wanawake aminini Wanangu tutawakuta wengine mbele, tuwe BIZE SAAANA kwakuwa wao ni sehemu ndogo sana ya maisha yetu, tunao Ndugu na Wazazi wetu wanaotaka ushindi wetu.
WANANGU tujibu texts zao pale ambapo muda umepatikana, tupokee simu pale ambapo hakuna mishe nyingine, tuwe busy tupambanie maisha, wao ajira zao zipo ndani ya nguo zao wengi wao, sisi ajira zetu zipo ndani ya jasho letu, mpaka mwisho Wanangu, wakisema sio romantic fresh, wakisema hatujali fresh sisi hatuna muda mwingi wa kujiteteta tunasaka USHINDI.
MKULIMA WA BONDE LA MTO KILOMBERO.