LEO TUNDU LISSU ANATIMIZA MWEZI MMOJA TANGU KESI YAKE KUHAIRISHWA. Afu kuna KIBAKA huko anasema MAHAKAMA zipo huru.
Tundu A. M. Lissu alifikishwa mahakamani mara ya mwisho tarehe 12 Novemba, 2025. Tangu siku hiyo, mahakama imeshindwa kutoa ratiba mpya ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi yake.
Kuanzia tarehe 15 Desemba 2025, likizo ya mahakama na majaji itaanza na itamalizika tarehe 31 Januari 2026. Hadi wakati huo, Tundu Lissu atakuwa amekaa siku 80 bila kesi yake kusikilizwa, atakuwa anaonana na kuta chakavu za gereza la Ukonga.
Mpaka kufikia januari 31, atatimiza siku 297 gerezani akiwa ametengwa na ulimwengu na chini ya ulinzi mkali unaoendelea wa saa 24/7, katika selo yake ya 6x6. Huu udhalilishaji wa utu wa mwanadamu. Hii haikubaliki. Simama na Tundu Lissu! Inuka kwa ajili yake! Na Sema kwa ajili yake. #FreeTunduLissu
REPOST 500
#SMG
#SamiaMustGo
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
‼️‼️🔊🔊‼️‼️ Tundu Lissu alifikishwa mahakamani mara ya mwisho tarehe 12 Novemba, 2025. Tangu siku hiyo, mahakama imeshindwa kutoa ratiba mpya ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi yake.
Kuanzia tarehe 15 Desemba 2025, likizo ya mahakama na majaji itaanza na itamalizika tarehe 31 Januari 2026.
Hadi wakati huo, Tundu Lissu atakuwa amekaa siku 80 ‼️ bila kesi yake kusikilizwa, atakuwa anaonana na kuta chakavu za gereza la Ukonga.
Mpaka kufikia januari 31, atatimiza siku 297 gerezani akiwa ametengwa na ulimwengu na chini ya ulinzi mkali unaoendelea wa saa 24/7, katika selo yake ya 6x6. Huu udhalilishaji wa utu wa mwanadamu. Hii haikubaliki. Simama na Tundu Lissu! Inuka kwa ajili yake! Na Sema kwa ajili yake. #FreeTunduLissu
HUWEZI KUPINGA NAMNA HIYO, PUMBAVU SANA WEWE…! MAMAE UTALIPAAAAA!
Tushatangaza maandamano yetu ni Ya amani wewe UNAPINGA—hii nchi sio ya Kidikteta au ya kifalme maandamano ni HAKI YA KIKATIBA. Wewe unaepinga maandamano ndio MUHAINI.
Sisi tunalia na mambo mengi ya hovyo yanayoendelea nchini ikiwemo nyie POLISI KUTUTEKA NA KUTUPOTEZA, KUTUULIA NDUGU ZETU KWA MAELFU oktoba 29. Haya maandamano hamuwezi kuyafurahia.
DUNIA IPO UPANDE WA WANANCHI NA SISI SABABU ZA KUANDAMANA TUNAZO, NIA YA KUANDAMANA TUNAYO NA UWEZO WA KUANDAMANA TUNAO.
REPOST 200
#D9
#Disemba9Tunatoka
#SiriNiNamba
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Ni kwasababu sisi hatuna uwezo wa kuteka na kupoteza ndugu zetu kama nyie. Sisi tunaheshimu HAKI ya kuishi kwa kila binadamu.
Sisi tunajua kwenye kila PUMZI aliyoweka Mungu kwa mwanadamu ana kusudi nayo. Hatuwezi kuua ambacho hatujakiumba.
Tupo njia sahihi na kwa kuwa sisi ni wengi acha tupite njia ndefu tufike wote—ushindi upo na unakuja.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@realDonaldTrump
Dear Mr. President,
My name is Mange Kimambi, and I am a Tanzanian pro-democracy activist who has been living in the United States since 2012. I am writing to bring to your attention what I believe to be a grave injustice committed against the people of Tanzania and myself by Meta, and to respectfully request your support in defending democratic activism and freedom of expression online.
Recently, my Meta accounts — including Instagram (@mangekimambi80), Instagram News media page owned by me (@wananchiforum), and my WhatsApp number (+1 424-537-3057) — were deactivated after I raised awareness about a series of severe abuses and horrific events occurring in Tanzania. These include, the kidnappings of regular citizens and kidnappings, killings and imprisonment of opposition leaders on fabricated treason charges, the barring of opposition parties from participating in the general election, widespread corruption, misuse of public funds, and the large-scale looting and exploitation of Tanzania’s natural resources by foreign governments such as the UAE, China, Oman, and most recently Russia, which is currently seeking access to Tanzania’s significant uranium deposits. Despite the country’s natural wealth, millions of Tanzanians continue to live in extreme poverty and lack even basic necessities — including clean drinking water — due to systemic corruption.
For months, I used my platforms to highlight these issues and consistently encouraged PEACEFUL protests, as many Tanzanians feel there is no safe alternative for expressing dissent. The government has been widely accused of kidnapping, torturing, or killing individuals who speak out against injustice, which makes digital communication one of the only remaining tools for civic engagement. Every post I made emphasized peaceful, non violent protests.
On October 29 2025— the day of the general election — protests led largely by Gen Z erupted across the country. These demonstrations were met with extreme state violence. Thousands of young Tanzanians were killed and many more injured as security forces responded with lethal force. The African Union, SADC, and the EU Parliament have all publicly condemned the compromised electoral process and the deadly violence that followed. Most Tanzanians view the President, Samia Suluhu Hassan — who claimed 97% of the vote — as an illegitimate president who chose to kill thousands of Tanzanian youth instead of stepping down from power. Numerous photos and videos documenting these horrific events and deaths remain visible on my X account (@mangekimambi).
My social-media platforms were essential tools for communicating with supporters, organizing peaceful civic action, and documenting human-rights abuses in real time. Their removal has severely hindered the ability of Tanzanians to access truthful information and to organize safely. Traditional media inside Tanzania has been effectively silenced; journalists who speak out risk being kidnapped, disappeared, or killed. This leaves social-media platforms run by diaspora activists like myself as one of the last remaining channels for Tanzanians to document and expose abuses.
I respectfully ask that you publicly urge Meta to reinstate my accounts without delay. I also request that you encourage Congress to consider legislation that grants activists and individuals with significant public platforms meaningful legal recourse when their accounts are removed without transparency, due process, or a clear path to appeal. Millions of people around the world — especially those advocating for democracy and human rights — depend on platforms such as Instagram, Facebook, X and TikTok to have their voices heard. In today’s world, where civic freedoms and personal safety often depend on digital communication, these companies must be held accountable.
On the same day my accounts were removed, another prominent Tanzanian activist, Maria Sarungi @MariaSTsehai saw her Instagram page
GIRISHONI.
Serikali imemtuma Girishoni kulalamika kwamba hawajatendewa haki na CNN lakini ameshindwa kujadili na kuonesha upotoshaji wa maudhui ya CNN ambayo alisema anakwenda kuchambua na kuchakata.
Tulitegemea kuwaona Serikali mkileta ushahidi wa picha za satelite kuonesha hayo mauaji siyo Tanzania ni Sudan au Afghanistan. Badla yake mnalalamika CNN hawajawatendea HAKI. Hivi ninyi najielewa kweli?
Tulitegemea leo uwaite waandishi wa habari na kuonesha huo uongo wa CNN. Ulitakiwa kuleta ushahidi wa kimantiki kupinga ushahidi wa kisayansi uliofanywa na CNN. Umetuletea UTAPELI tu na kurusha mate.
Mlitakiwa kutuonesha upotoshaji, kwamba picha hizo walizotumia CNN ni zamani wakati wa vita ya MAJI MAJI au VITA ya KWANZA ya DUNIA. Badala yake Serikali inakuja mbele ya umma kuleta malalamiko tu.
Unaongelea principle of natural justice, kwamba CNN kabla ya kuchapisha taarifa walitakiwa kuwasikiliza. Larry Madowo anasema amewatafuta na mmekimbia mahojiano na CNN. Mlitaka CNN wafanye kitu gani?
Hata leo, hamjataka kuwaalika CNN wafike muwaumbue kwa kuonesha taarifa ya ukweli tofauti na yao – ambayo Serikali yenu inasema ni upotoshaji. Mmealika ‘vi-blog uchwara’ vinauliza kuhusu bandari.
Unatakaa application ya principles of natural justice, ninyi kwanini mliamua kuwapiga risasi za kichwani, mgongoni, kiunoni waandamanaji? Kwanini hamkutaka kuwasikiliza kabla ya kuanza kuwaua waandamanaji?
CNN wanasema wame’ extract materials from the 1st source. CNN wamekwenda hadi katika maeneo watu walipouwawa na kuzungumza na familia za wahanga. Tulitegemea kuona mnakanusha taarifa ya CNN.
Larry Madowo anasema CNN wamekwenda hadi eneo la tukio na kuzungumza na familia ya mama aliyepigwa risasi mgongoni akiwa anakimbia kujiokoa. Tulitegemea kusikia mnakanusha kwa kuleta ukweli wenu.
CNN wanasema wamezifikia familia za wafiwa na majeruhi na kuzungumza nao wenyewe. Wanasema wamezungumza na watu zaidi ya 100 katika kutafuta ushahidi wao. Mnatuletea porojo zenu tu.
CNN wametoa ushahidi wa picha za satelite kuonesha uwezekano wa uwepo wa makaburi ya halaiki. Serikali imemtuma muhuni wake kutoa maelezo lakini hajathubutu kugusia kabisa kuhusu tuhuma hizo.
Serikali yenu inakiri kwamba mauaji yametokea. Lakini hawasemi idadi ya watu waliouwawa na wangapi wamekabidhiwa kwa ndugu zao ili wazikwe. Hao waliouwa wamechukuliwa hatua gani za kisheria?
Unaulizwa kuhusu idadi ya vifo, unasema TUME itatoa takwimu za vifo na majeruhi. Kwa hiyo tusubiri miezi mitatu kufahamu matokeo ya tume? Kwamba siku ya 26 sasa Serikali haijui idadi ya watu waliouwawa?
Unalalamika CNN hawajawatendea HAKI. Hivi ninyi mliwatendea HAKI gani watu mliowapiga risasi na kuwaua? Tena mmewaua wakiwa siyo waandamanaji. Watu wengine wamefuatwa wakiwa majumbani
Kila siku Serikali na wapambe wenu mnahubiri kwamba AMANI kwanza, HAKI baadae. Umesahau kwa haraka sana. Leo ndiyo mnakumbuka kwamba HAKI inatakiwa kuanza kabla ya mambo mengine?
Unasema familia za watu ambao hawajaona ndugu zao waende polisi kuwatafuta. Nikuulize tu, Sheria gani ambayo inatoa ruhusa kwa mtuhumiwa kuwekwa mahabusu kwa siku 24 bila kufikishwa mahakamani?
Unasema kwamba, Larry Madowo hakuwa Tanzania wakati mauaji yanatokea. Kwamba Larry Madowo ametumia picha zilizopigwa kwa simu. Kwa kuwa ni picha zilizopigwa na simu zinaondoa ukweli wa mauaji?
Girishoni anasema kuna kikundi kidogo cha watu 20 wenye akaunti mitandaoni 200 ambao kazi yao ni kuleta kupambisha, kuchochea, kutia fitina. Lakini anasahau wameua watu wengi ambao ni zaidi ya hao 20
Unavipongeza vyombo vya habari vya ndani kwamba vimetimiza wajibu wake ukifahamu hawaruhusiwi kuandika kuhusu mauaji ya raia isipokuwa kusambaza vipeperushi vya uharibifu wa mali tu. Mmelaaniwa
Umetumia saa 48 kuchambua na kuhakiki mini-documentary ya dakika 5 ya CNN halafu kitu ulichokuja nacho mbele ya hadhira ni kulalamika kwamba hamkutemdewa haki. Ungechambua mchele tu
NB; ukweli ni kama mimba, hata ufiche, ipo siku utajulikana. Labda ufanye abortion. TUTAKUWEPO
Lissu alisema atakinukisha Yuko gerezani, Shekhe kasema atakata vichwa waandamanaji imekuwa habari kwenye media ana trend yupo kijiweni anavuta fegi na kahawa... Karibu Tanzania.
Read this for geolocated videos, audio forensic analysis of shots fired & first-hand accounts of Tanzania's unrest. President Samia Hassan claims to have won with 98% of the vote.
Reported with @FlorenceDAttlee@GianlucaMezzo + help from @BenDoBrown
https://t.co/4gaBtscV4K
Geolocated videos from the scenes, audio forensic analysis of the shots fired and first-hand accounts from witnesses and victims document the brutality unleashed on young demonstrators following the re-election of President Samia Suluhu Hassan – who claimed she won with 98% of the vote on October 29 after barring her chief rivals from the presidential race. https://t.co/aYUhkIjyjx
Hii ripoti ya @CNN!!!!! Moyo wangu unavuja damu.
Kwamba mliwaondoa majeruhi wazima na kuwapeleka mortuary?
Kwamba mmezika watu kwenye makaburi ya pamoja, badala ya kuwapa ndugu miili ya watu wao?
Haya mtayajibu vipi? Hiyo kiu ya madaraka ni kubwa kiasi gani kwamba unafanya haya kubaki madarakani?
Utawala usio na ridhaa ya watu, Utawala wa damu.
Huwezi kuunda timu ya kujichunguza mwenyewe, hauwezi kuficha huu uovu.
Dunia inaona na inajua.