Nilishawahi kuulizwa swali na demu hadi nikabaki na kigugumizi na ilikuwa live
"Unahisi wewe utanipa kipi cha ziada ambacho sikipati kwa mpenzi wangu wa sasa'
Oyaa Mbengoo zilifunguka ๐ค
Mganga gani anaweza Baki na Maini na Kichwa cha mtu siku zote hizo Huku akijua wenzake Wamekamatwa ? Hakuogopa kutajwa? Kukimbia ? Kuvifukia?
Kuhusu kichwa cha Temba ๐ญ
Eric Omondi amekusanya madumu matupu kisha akayafunga kamba na akaanza kuzunguka nayo kwenye barabara za Kenya kama ishara ya kupinga ongezeko la bei ya Mafuta. Omondi amesema haiwezekani viongozi watembelee magari yanayokunywa mafuta wakati wananchi wanateseka na mfumuko wa bei.
Rais Samia Suluhu Hassan amemwelekeza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Dennis Simba kuyataja mashirika na taasisi zinazofanya vibaya zaidi katika ripoti ijayo ili zione aibu.
BREAKING NEWS : Hatinaye nimewaletea cheti cha kuzaliwa cha mtoto wa Padri. Charles Kitima, mtoto anaitwa Daniel alizaliwa 2015 na Mamake ni Suzan Obedi.
Padri kuwa na mtoto ni kinyume na Canon Law, ila Kwa sababu TEC wanatabia ya kufichiana dhambi na hili watalificha.
๐ฐ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ฐ
๐ #CAFCL
๐ Al Ahly
๐๏ธ 23 January 2026
๐๏ธ Borg El Arab
โฑ๏ธ 12:00 Jioni๐ช๐ฌ | 1:00 Usiku๐น๐ฟ
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Ndoto ni kubwa mchawi uchumi, maboss wanatamani kufadhili Tuzo zitoke Physical ila wanasema tatizo jina
Kazi yote imesimaiwa na @Mkuruzenzi, Tuzo Physical Zilizotengenezwa ni Tano na Gharama Si Kitoto malipo ya hizi yamesimamiwa na @Sativa255 na @Thereal_taivina salute kwenu๐ซก
โผ๏ธ๐จTAARIFA - JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAโผ๏ธ
Tunapenda kulikumbusha JWTZ ni Jeshi la WANANCHI, si jeshi la viongozi. Hivyo wajibu wake ni kuhakikisha maandamano makubwa ya amani yasiyo na kikomo yatakayoanza Jumanne tarehe 9โจDisemba 2025 katika maeneo yote ya Tanganyika yanafanyika huku wananchi wakilindwa. Wananchi watakuwa wanatekeleza wajibu wao kikatiba kuilinda na kuikomboa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotekwa nyara na genge la wahuni linaloongozwa na Samia Suluhu Hassan.
#D9 #SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #KaribuTheHague