ADVOCATE PETER ELIBARIKI MAKUNDI (Roll No. 5937)
a member of the TLS was tragically passed away on Wednesday, 29th October 2025, following a gunshot incident by Police at Shekilango, near Total Petrol Station, while he was returning home after shopping.
Pumzika Wakili Msomi!
TAARIFA.
Nimeendelea kupokea vitisho kwa watu wanaoaminika ni watu kutoka jeshi la polisi, wanadai "badao hatujamalizan na wewe".
ACP Faustine Jackson Mafwele ndio aliongoza genge la utekaji wangu tarehe 23/6. Na hilo genge ndio linanitafuta kuwa wanataka wamalize kazi.
Nimeandika hii barua niliyotuma kwa ndugu , jamaa na marafiki zangu wa karibu. Kila mmoja nimempa hii barua.
Naomba na wewe Rafiki yangu , ndugu yangu niliekushau kukutumia hii nakala naomba uichukue uitunze.
Asanteni.🙏🏾
SATIVA17🫡
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Mi niseme mtesi akiwatendea uhuni nanyi mtendeeni vivyo hvyo...msisubiri cjui cha haki. Hakuna haki kwenye hii nchi.Arusha akipotea mtu...tusimtumie "muuaji "blames. Atumiwe full squard. Ili tuishi kwa amani. Ulinzi wa raia upo juu ya raia kabla ya polisi.
A legend is Gone but he will live in our hearts FOREVER.
Pumzika Mzee wetu,siku ya leo itabaki kwenye kumbukumbu zetu
Asante Mungu kwa Maisha yako, Ulikua Mwalimu, Kiongozi na Baba/Mlezi wa Wengi. Umekamilisha Safari ndefu ya Maisha yako, Safari yenye Mapito Mengi na Mafunzo mengi kwetu.
Pole za dhati kwa Familia,Pole kwa wana Monduli, Utaendelea kuishi katika Mioyo yetu Daima.