Waelezeni Watanzania kuwa hii team ni ya familia ya kimama, ni team ya mtoto wa kimama yule Mzenji.
Na pia sio team ya kawaida, hii ni money laundering scheme ya familia ya kimama. Pesa zao za haram huwa zinatakatishwa kupitia hii team kama jinsi wanavyotakatisha kupitia Casino. Kupitia sponsorships etc ndio wanavyotakatisha pesa.
Dar City basketball is a money laundering scheme ya mafisadi wa familia ya kimama.
Mlitaka aseme nini? Pesa zote hizo kaiba mwanae Abdul. Mlitaka aseme watajwe alafu wanyongwe wakati anajua muhusika mkuu ni mwanae kipenzi?
Hakuna fisadi mkubwa aliewahi kuiba Tanzania zaidi ya Abdul Hafidh.
Na pesa zote hizi zipo Dubai. Investment yooote ya pesa wanazoiba inafanyika Dubai. Bora hata wangekuwa wakiiba wanafungua maviwanda na kuajiri Watanzania ila hapana wakiiba kama watafanya investment ndani ya Tz basi ni wanajenga ma apartments na majengo ya kukodisha Watanzania na sio kuwasaidia kupata ajira na investment kubwa zaidi ndio wanafanya Dubai kwenye real estate.
Huu ufisadi wa kiwango hiki ndio sababu wanaua raia wakiandamana, Oktoba 29 waliua raia ili kulinda huu ufisadi wao na hii pia ndio sababu kuu wanapambana bunge liwe halina upinzani wowote. Tusitegemee kupata haki kwenye hii nchi kwa ufisadi huu, mafisadi watapambana juu chini siasa za Tanzania zibaki hivi hivi ili waendelee kuiba huku Wananchi wakiendelea kuteseka. Kwa wizi na ujambazi wa kiwango hiki tusisubiri CCM watoe haki kwa hiari ni lazma wananchi tukaichukue haki yetu.
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28.
Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko Tanzania sababu ya AFCON.
Mipango ianze sasa ya kupush maandamano makubwa kwenye AFCON ya 2027
Kwanza hiyo kampeni tu ya kufanya maandamo siku ya ufunguzi wa AFCON tayari tutapata attention ya dunia nzima……..