@bonichengula Dogo akajua mchizi ni potential customer..dogo anasema jamaa alishakaa pale kama masaa mawili ivi..sasa ichi ndio kilichomponza boda wangu..maana alipofika pale alikuta mchizi na dogo wa shop wanapiga story kama watu wanaofamiana ..inshort boda alihisi lile duka nila jamaaa😎..
@bonichengula Pale kwenye shop alikua ashatia oda kama ya 500k na vitu vimeshashushwa kwenye mashelfu vimefungwa …mchizi kamwambia dogo washop pale kuna jamaa angu ananiletea simu yangu apa imeenda kubadilishwa kioo ikifika nitaenda kutoa hela nikulipe..ivyo vyombo..dogo wa shop apo akajaa
@bonichengula Lakini uzoefu juzi ulitakiwa uweupdated😂…mchizi…akaniambia nilikua rabininsia hospital kazini …ila nimetoka nipo ofisi yangu apa karibu ..basi nkampa boda namba akaunga …amefika tegeta akamkuta mchizi yupo shop la vyombo… jamaa ni G 😅🙌🏾..
@bonichengula Nikamwambia nipe muda …nikapiga simu zangu uku na kule nikakutana na 12pro ..nikajua uyu mteja anachotaka ni macho matatu..nika ipropose kwake akaikubali ..sema hii bei ikawa chini kidogo 850k …fresh nikamtuma boda maana nilikua na issue yakuideal shop..boda anauzoefu..