Tupo kwenye Era ya kulisha HISIA kuliko UHALISIA.
Ukija na FACT na uhalisia, unaonekana una matatizo na utapigwa sana.
Mbaya zaidi media zote zimewekeza nguvu kubwa kwenye burudani.
Behind the scenes watu wanapush biashara zao kupitia entertainment.
HISIA > MONEY
Kwa MASLAI mapana ya AKILI yako.
Usichukulie kila kitu PERSONAL.
Jifunze kuona mambo kwa pande mbili.
Sio kila unachoamini wewe ni sahihi kwa kila mtu.
Sio kila unachopenda wewe, wengine watakielewa.
Jifunze kuelewa mitazamo tofauti bila kupoteza uwezo wako wa kufikiri.