Katika kesi inayomkabili Mheshimiwa Tundu Lissu, historia yake ya maisha, struggle yake, alikotoka na safari yake hadi alipofika si hadithi ya pembeni. Ni sehemu ya narrative ya utetezi inayolenga kuonesha character yake, misimamo yake, commitment yake kwa nchi na gharama kubwa alizolipa katika kusimamia demokrasia, haki na utawala wa sheria.
Hii si kesi ya kawaida. Ni kesi ambayo, ikiwa itamalizika kwa hukumu ya hatia, inaweza kuwa na adhabu ya kifo. Kwa mazingira hayo, kumtaka mshtakiwa aharakishe utetezi wake ni jambo linalopaswa kutazamwa kwa umakini mkubwa.
Hata kama utetezi wa Lissu utachukua mwaka mzima, huo si muda mrefu ukilinganisha na adhabu inayoweza kumpotezea mtu maisha yake milele.
Mahakama inapaswa kuwa na uvumilivu wa kutosha kuhakikisha kwamba kila jambo la msingi katika utetezi linasikilizwa. Ufanisi wa mahakama ni muhimu, lakini haki ni muhimu zaidi.
Kwa kesi yenye matokeo yasiyoweza kurekebishwa, hakuna muda unaoweza kuwa mrefu kuliko thamani ya maisha ya mtu.
Hakuna haraka inayopaswa kuwa kubwa kuliko haki.
Jesus in All 66 Books of the Bible
Genesis β Jesus is the Seed of the woman.
Exodus β Jesus is the Passover Lamb.
Leviticus β Jesus is our Great High Priest.
Numbers β Jesus is the bronze serpent lifted up.
Deuteronomy β Jesus is the Prophet like Moses.
Joshua β Jesus is the Captain of our salvation.
Judges β Jesus is our righteous Judge and Deliverer.
Ruth β Jesus is our Kinsman-Redeemer.
1 Samuel β Jesus is the true Anointed King.
2 Samuel β Jesus is the everlasting King.
1 Kings β Jesus is greater than Solomon.
2 Kings β Jesus is the faithful King to come.
1 Chronicles β Jesus is the promised Son of David.
2 Chronicles β Jesus is the rightful King of Judah.
Ezra β Jesus is the Restorer.
Nehemiah β Jesus is the Rebuilder of broken lives.
Esther β Jesus is our Advocate.
Job β Jesus is our living Redeemer.
Psalms β Jesus is the Good Shepherd.
Proverbs β Jesus is the Wisdom of God.
Ecclesiastes β Jesus is our true Satisfaction.
Song of Solomon β Jesus is the Bridegroom.
βΈ»
Isaiah β Jesus is the Suffering Servant.
Jeremiah β Jesus is the Righteous Branch.
Lamentations β Jesus is our hope.
Ezekiel β Jesus is the Good Shepherd.
Daniel β Jesus is the Son of Man.
Hosea β Jesus is the faithful Bridegroom.
Joel β Jesus is the Baptizer with the Holy Spirit.
Amos β Jesus is the Burden Bearer.
Obadiah β Jesus is our Mighty Savior.
Jonah β Jesus is the Risen One.
Micah β Jesus is the Ruler born in Bethlehem.
Nahum β Jesus is the Avenger of Godβs people.
Habakkuk β Jesus is the Holy One.
Zephaniah β Jesus is the Mighty One who saves.
Haggai β Jesus is the Desire of all nations.
Zechariah β Jesus is the Pierced Messiah.
Malachi β Jesus is the Sun of Righteousness.
βΈ»
Matthew β Jesus is the promised Messiah.
Mark β Jesus is the Servant King.
Luke β Jesus is the Son of Man.
John β Jesus is the Son of God.
Acts β Jesus is the risen Lord building His Church.
Romans β Jesus is our righteousness.
1 Corinthians β Jesus is our resurrection.
2 Corinthians β Jesus is our comfort.
Galatians β Jesus is our freedom.
Ephesians β Jesus is the Head of the Church.
Philippians β Jesus is our joy.
Colossians β Jesus is supreme over all.
1 Thessalonians β Jesus is our coming King.
2 Thessalonians β Jesus is the righteous Judge.
1 Timothy β Jesus is the one Mediator.
2 Timothy β Jesus is the faithful Savior.
Titus β Jesus is our blessed hope.
Philemon β Jesus is our Reconciler.
βΈ»
Hebrews β Jesus is our perfect High Priest.
James β Jesus is the Lord of glory.
1 Peter β Jesus is the Chief Shepherd.
2 Peter β Jesus is the coming King.
1 John β Jesus is eternal life.
2 John β Jesus is the truth.
3 John β Jesus is our Example in Truth and Love.
Jude β Jesus is able to keep us from falling.
Revelation β Jesus is the Alpha and the Omega, the King of Kings and Lord of Lords.
Yoshua 1:9
βJe! Si mimi niliyekuamuru?
Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike, kwa kuwa Bwana Mungu wako yu pamoja nawe kila uendako.β
Hongereni sana CHADEMA!
Hata siku mkianza kupata ruzuku msiache Tone tone in fact mkiwa madarakanuli FUTENI ruzuku - hii ndo future ya siasa!
Ukiaminiwa unapewa sapoti na jamii!
Na vyama vyote vinatakiwa visipewe ruzuku - mbona briefcase vyama vitakufa mapemaaa?
Eniwei #TutaelewanaTu
@Aduiwayanga Ila mnaoendesha hii kampeni ya kutetea mafuta kupanda mna UBINAFSI sana zaidi ya....Mwisho wa siku itaadhiri maisha yako, ndugu zako na jamii zako.
Kupitia fiscal policy govt inaweza kupunguza gharama za mafuta kwa mtumiaji wa mwisho la sivyo tutaashuhudia mfumuko wa bei.
@leona58769@HecheJohn Kabisa kaka ushuru wa serikali ungepunguzwa ili kubalance bei ya mafuta.
Mafuta yamepanda kwa zaidi ya 1,000 kwa Lita kwa mwezi mmoja ni hatari kwa mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali.
Father Charles Kitima π₯ππ½
Kiboko ya wauaji na madhulmat!
Jana kapiga kishujaa kwenye mshono kwa niaba ya Kanisa Katoliki la Mitume
Taarifa niliyopewa kimama na mwanaye mwuza unga wamefura wanaandaa raundi nyingine kuteka, kuumiza na ikiwezekana kuua - ila Mungu atasimama siku zote na kuwaumbua!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
TAHADHARI KWA WAAGIZAJI WA MAGARI (USED VEHICLES) KUTOKA UINGEREZA
Ubalozi umepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi waliotuma fedha nchini Uingereza kwa ajili ya kununua magari, lakini hawajayapokea kwa zaidi ya miezi sita, hali iliyosababisha hasara na usumbufu mkubwa.
Tunatoa rai kwa wote wanaokusudia kununua magari yaliyotumika kutoka Uingereza kuzingatia tahadhari zifuatazo:
β’ Hakikisha kampuni unayonunua nayo imesajiliwa na ipo hai (active) nchini Uingereza. Unaweza kufanya uhakiki kwa kupitia tovuti ya Serikali:Β https://t.co/G8QpwTkm0i
β’ Ingia mkataba rasmi wa manunuzi kabla ya kufanya malipo.
β’ Tumia Letter of Credit (LoC) badala ya kutuma fedha moja kwa moja (TT), hasa kwa malipo makubwa.
β’ Hakiki historia ya gari kupitia:Β https://t.co/zQko1lo7rY
β’ Fanya ukaguzi wa gari kabla ya kusafirishwa (pre-shipment inspection).
Kuchukua hatua hizi ni njia bora ya kujilinda dhidi ya udanganyifu na hasara zisizo za lazima.
Ubalozi unasisitiza umakini na tahadhari katika manunuzi ya kimataifa.