@Life_of_vike Baba na mama ni wazazi wako
Nafasi yao haingii kwenye nafasi ya ndugu
Ndoa yako si ya wazazi wako kijana,wazazi ni kama washauri na wewe unatakiwa kuwajali kwa nafasi ya wazazi!!!mimi hoja yangu si kwa wazazi ni kwa ndugu!!!elewa kwa upole kiongozi siyo ngumu kuelewa kabisa!!!
People grow when they face consequences.Watu hukua na kubadilika wanapokutana na matokeo ya makosa yao(si kila mtu anajifunza kwa njia rahisi )
Sometimes the most loving thing you can do is allow someone to experience the result of their choices.
Contact +255796584238(ushauri)
Naomba nizungumzie vitu viwili ambavyo ni vigumu kwenye mahusiano 1.Don't Set Yourself on Fire to Keep Others Warm
Usijiharibu ili kuwaridhisha wengine.
Usitoe:
A.Muda wako wote
B.Fedha zako zote
C.Nguvu zako zote
D.Amani yako yote,ili tu mtu mwingine afurahi.
Mahusiano yenye๐
Mahusiano yenye afya yanahitaji sacrifice.(wote mjumuike na muwajibike,kihisia,kiakili,kiroho na kimwili)
Lakini si self-destruction.
2.Stop Rescuing People From Their Consequences,kwenye maisha kila kosa lina adhabu yake hvyo usianze kubeba adhabu za watu kwa makosa yao๐๐
(conserve your energy for other important businesses)
Kuna watu wanaingia kwenye cycle ya kuokoa watu kila wakati.
Anadanganya.
Unamsamehe.
Anarudia.
Unamsamehe.
Anarudia tena.
Unamsamehe.
Matokeo yake hajifunzi.
People grow when they face consequences.๐๐