Hizi ndizo bunifu katika tafiti ambazo Vyuo Vikuu vinapaswa kuzalisha.
“Kutoka maabara Hadi Sokoni (Lab2Market).”
Huu ndiyo Ubunifu Bora wa mwaka 2026, UDSM katika wiki ya Tafiti na Ubunifu (Research Innovation Week).
Ni cement ambayo ni “Bio-based”. Low carbon material inayosaidia kupunguza athari ya hewa ya ukaa lakini ina sifa kubwa “Self-healing” kwa kutumia “Bacterial mechanism” inayosaidia kupunguza athari ya kuharibika.
Hongera kwa Watafiti kutoka Ndaki ya Sayansi, Idara ya Kemia, akina Dr. Madirisha et al.
Wivu unakuambia kipi unachoogopa kupoteza. Hofu ya kupoteza kitu cha thamani aghalabu uhusiano. Huzuni inakuambia kitu gani umeshakipoteza—fursa, mtu, uhusiano. Husda unakuambia kile unachotamani lakini wengine wanacho. Unatamani walichonacho wengine. Hasira inakuambia kile kinachokutisha na kuweka rehani hadhi, haki na heshima yako. Hatia inakuambia makubaliano gani ya kimaadili ulimeshindwa kuiheshimu.
Aibu inabeba hofu ya kukataliwa, kukosolewa, kutengwa, au kupoteza hadhi. Fedheha inakuambia kitu gani hukipendi kuhusu wewe mwenye. Unafedheheka unapohisi wewe ni mtu mbaya. Hofu inakuambia tishio lililo mbele yako linalokuondolea utulivu. Hofu ni kengele ya ulinzi dhidi ya hali ya sintofahamu. Wasiwasi unakuambia nini huna uhakika nacho . Msongo (stress) unakuambia kile unachotakiwa kufanya na hujaweza kukifanya. Msongo ni mzigo wa kuzidiwa na majukumu. Sonona inakuambia matumaini yepi uliyoyapoteza.
Hisia ni data. Hisia ni taarifa zinazobeba ujumbe mkubwa nyuma yake. Hisia hasi, mathalani, ni mwitikio wa hitaji fulani muhimu kutokufikiwa. Namna bora ya kushughulikia hisia zinazokusumbua ni kuelewa aina ya hitaji linalobebwa na hisia husika na kulifanyia kazi.
📣Karibu kwenye kongamano la Neno la Mungu, Uponyaji na Ukombozi litakalofanyika tarehe 27/06 pale Kanisa la OHC, na tarehe 28/06 pale ukumbi wa Ubungo Plaza kuanzia saa 3 asubuhi hadi jioni.
🍝🍲🍹Chakula & Vinywaji vitagawiwa Bure. Hakuna kiingilio.
Baada juhudi kubwa za @TIE_Tanzania na @wizara_elimuTz kuboresha mtaala, ni kwa kiasi gani walimu wameboresha uelewa wa kipedagogia? Je, tumewaandaa walimu kutafsiri mtaala ulioboreshwa katika mazingira ya darasani?
Makala haya ya Jarida la Elimu via @MwananchiNews yanalenga kumsaidia mwalimu kuufikiria mtaala katika mazingira ya darasani.
No One Does It Alone
One of the most persistent myths in modern culture is the idea of the self-made man.
We admire the lone warrior who wins battles by himself, the entrepreneur who supposedly bootstraps his way to riches without help, and the individual who can stand against the world through sheer determination. It makes for a compelling story, but it is rarely how life actually works.
The truth is that success is often a team effort disguised as an individual achievement.
Life is built on relationships, trust, and cooperation. The opportunities we receive, the advice that saves us from costly mistakes, the introductions that open doors, and the support that helps us through difficult seasons almost always come through other people.
This is why building relationships should never be an afterthought.
Do not wait until you are in trouble to start creating connections. Build bridges long before you need to cross them. Invest in people when there is no immediate benefit to you. Offer help when you can. Keep your word. Show up consistently. Be the kind of person others can rely on.
Even something as simple as borrowing and promptly repaying a small amount of money can establish trust and demonstrate that you are dependable. Creditworthiness, whether financial or personal, is built through repeated acts of responsibility over time.
When I look back on the successes I have enjoyed, I cannot honestly claim that I achieved them alone. Behind every step forward were people who encouraged me, taught me, challenged me, recommended me, or simply believed in me when they had little reason to do so.
For that, I remain deeply grateful.
The older I get, the more convinced I become that your network is not merely a collection of contacts. It is a community of relationships built on trust, goodwill, and mutual support.
So build your community.
Nurture friendships. Strengthen family ties. Invest in professional relationships. Be generous with your time and your knowledge. The bridges you build today may become the pathways to opportunities you cannot yet see.
Because no one truly succeeds alone. The people who go furthest in life are often those who understand that progress is less about standing apart from others and more about growing together.