@mangekimambi Dada Mange uko sahihi, Abdul ameandika hukumu ya mwaka 1 na nusu, hivyo adhabu ya @TunduALissu inaisha November but akiwa disqualified hata kuwa Diwani. Hawajali kuwa Deo Sanga walimfunga kwa ugaidi kisha wakampa Ubunge. Hii ina apply only kwa kumkandamiza Lissu.
Musoma Mjini, Mara, Tanzania.
CHADEMA leo tulikuwa ardhi ya nyumbani. Hapa ni wakati wa TONETONE. Watu wa Mkoa wa Mara kama kawaida yao, wamezimwaga za kutosha. Makamu Mwenyekiti @HecheJohn anaendelea kuwapelekea moto kama alivyoagizwa na Mwenyekiti @TunduALissu. #strongertogether #peoplespower
Tundu Lissu: Sasa waheshimiwa majaji kama hayo mdiyo uhaini kama ilivyo tafsiriwa na sheria.
Tuanze na tutavuruga uchaguzi.
Ipo wapi katika hayo yaliyofafanuliwa na kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu?
Twende kwenye tutazuia uchagui, Haipo siyo constructively.
Twende kwenye tuhamasisha uasi, Ipo wapi?
Kwa Kingereza ni rebelion ama kama ambavyo tulisomewa katika kamusi. Kupinga jambo kwa nguvu.
Twende kwenye Kukinukisha, Ipo wapi?
Ili walau leo wanangu wherever they are wajue Baba yao yupo gerezani kwa mwaka mmoja na nusu. Baba yao kuna kosa kafanya. Halipo!
Waheshimiwa majaji kwenye haya ya sheria yapo wapi? Hayapo!
Nimefungwa Mwaka mmoja na nusu kwa uonevu. Nimeonewa. Nina ndugu hapa wanakuja kila siku hapa nimefungwa.
Nina Wanachama hapa wanakuja kutoka kila mahali mbali mbali Mwenyekiti wao nimefungwa nipo gerezani. (Watu wanalia)
Nalindwa na askari kama vile nimuuaji kwa kosa gani? Waheshimiwa majaji Kama haya hayapo ugomvi hapa ni uchaguzi
Tulitaka Kuzui uchaguzi, tulitaka kuvuruga uchaguzi.
JAJI: Twende break.
Lissu : Sawa Mheshimiwa
Jaji Ndunguru: Upande wa mashitaka.?
Job Mrema: Hatuna Kipingamizi Mheshimiwa
Jaji Ndunguru: Bado sana Kuwasilisha
Lissu: Siwezi kusema nikajifunga, nisije fanya mambo kwa hisia.
Jaji Ndunguru: Basi tutabreak kwa saa 1 na nusu. Tutarudi hapa saa 8 na nusu.
—TL kaongea kwa hisia kali sana mpaka Jaji leo kaomba yeye Break
#FreeTunduLissu
The EPP Group has nominated lawyer, human rights activist and politician Mr Tundu Lissu as a candidate for the Sakharov Prize.
After surviving a 2017 assassination attempt, Mr Lissu returned to Tanzania to continue advocating democratic reform, only to face arrest, treason charges and exclusion from the 2025 presidential election, while his party was barred from participating.
His case reflects the wider erosion of democratic pluralism and political competition in Tanzania.
For the EPP Group, Mr Lissu represents a powerful combination of personal courage, democratic conviction and geopolitical relevance. His nomination affirms that Europe stands with those defending constitutional democracy and political freedom in Africa and in other partner countries of the EU. Mr Lissu embodies the defence of democracy, political pluralism, the rule of law and fundamental freedoms at extraordinary personal cost.
The Sakharov Prize for Freedom of Thought is the highest tribute paid by the European Union to human rights work.