An official Twitter account for the Tanzania Union of Industrial and Commercial Workers—Industries, Commerce, Finance, Services & Consultancy. 100k+ Membership.
Happened today: I represented the @ilo Country Director Ms. Caroline Mugalla @Khamati in a planning and capacity building meeting for @IUFglobal National Project Coordinators Committee (NPCC) organized by @TuicoUnion#CHODAWU and #TPAWU towards implementation of @IUFglobal Women Project in Tanzania.
I had opportunity to present a topic on social dialogue and tripatism and the role women can play in the process. Key issues which stood out to be important included the need for women to be empowered on negotiation skills, the need to do consultation, research and information sharing prior negotiation process.
It was interesting to learn that the three trade unions are coming together and discuss jointly matters affecting women workers in their sectors. This is very important for women issues are very common and we need collaborative efforts in addressing them.
As our 5-day training wraps up, closing remarks from officials representing @ilo, @TuicoUnion, and @tanzaniagov emphasized strengthened commitments from all stakeholders to enhance labour migration governance, ensuring fair treatment and well-informed migration pathways.
Mafunzo ya baadhi ya Makatibu Wasaidizi wa TUICO wakiwa kwenye mafunzo ya kujengewa uwezo wa matumizi ya mifumo ya tehama ya Chama. Lengo ni kuhakikisha kwamba kabla mwisho wa mwaka 2025 taarifa zote . Mikataba ya Hali Bora, Ada za Chama zinapatikana kwa mfumo wa kielectronic.
Kamati ya Utendaji Mkoa Tabora mara baada ya kikao chake cha kikatiba kilichofanyika tarehe 30 May 2024 kilichoketi na kufanya uchambuzi yakinifu katika utekelezaji wa majukumu ya chama na kuja na maazimio ya kuhakikisha mkoa unafikia malengo ya mpango mkakati wa mwaka.
TUICO Mkoa na Kanda ya Kati Wamefanya kikao Na Mkurugenzi wa CPB Ndugu . Patrick Mongella.kuongelea , Maswala ya utekelezaji wa Mkataba wa Mabaraza, utowaji wa Elimu, Ushirikishwaji wa Chama Na wafanyakazi katika Maamuzi,Kuboresha Mahusiano kati ya TUICO vs CPB .
Baadhi ya picha za pamoja za kikao kazi cha TUICO TANESCO Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi ambacho kinafanyika Wilayani Chunya, Mkoani Mbeya. Kikao hicho kilianza tarehe 22/07/2024 na kinatarajia kuisha tarehe 24/07/2024.
Vyama vya Wafanyakazi wa Nchini Misri kutoka sekta ya ujenzi na Nishati na CJA Migodi watembelea TUICO na kufanya mazungumzo
wamekukubaliana kuwa na mpango wa kutembeleana Tanzania na Misri ili kubadilishana uzoefu. Mapango huo utaanza baada ya kusaini Makubaliano Agosti, 2024
Wanafunzi wa Vyuo mbalimbali nchini wakipata mafunzo ya awali “orientation “ juu ya sheria, kanuni na sera mbali mbali za Ajira. Lakini pia walipa wasaha wa kufahamu historia kuhusiana na Chama.
Ofisi ya TUICO imefanikiwa kufunga Mkataba wa Hali Bora na TIPPER. Mkataba huo ukilenga kulinda na kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa TIPPER. Zoezi hilo liliongozwa na Mkuu wa Sekta ya Biashara Cde. Willy Kibona na Management ya TIPER Mohamed Mohamed.
ya Wafanyakazi, Utoaji wa Elimu, Ushirikishwaji wa Chama na Wafanyakazi katika maamuzi mbalimbali na kuboresha mahusiano baina ya TUICO na CPB kwa maslahi mapana ya pande zote mbili.
Ofisi ya TUICO Kanda ya Kati kwa kushirikiana na Mkuu wa Sekta ya Huduma na Ushauri Comrade Fredrick Mng'ong'o leo tarehe 03/07/2024 wamefanya kikao na Mkurugenzi Mkuu wa CPB Ndugu @PatrickMongella na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo maswala ya utekelezaji wa Mkataba wa Mabaraza
Semina hiyo ililenga kuwapa elimu juu ya umuhimu wa Chama cha Wafanyakazi kwa wajasiriamali hao. Pia walipata elimu kutoka katika mfuko wa Hifadhi za jamii (NSSF) @nssftz. Jumla ya Wajasiriamali 75 walijiunga na TUICO pamoja na Mfuko wa Hifadhi wa NSSF.
Mshikamano daima!
Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO)ikishirikiana na Streetnet International @Streetnet1 kimeendesha semina kwa Wajasiriamali wa Masoko yote ya Dar es salaam.
MSAADA:
HELLO GUYS, NILIKUWA NAOMBA ON BEHALF OF MY FAMILY KAMA KUNA MTU ANA BLOOD GROUP O NEGATIVE PLEASE NAOMBA UINGIE MY DM UTUSAIDIE KUTUCHANGIA DAMU MAANA TUNAUHITAJI NAO SANA SANA SANA. 😭😭💔
RT IFIKE MBALI NAOMBENI🙏🏽🙏🏽
Muafaka wa Haraka kati ya NHIF na Watoa huduma za Matibabu ni Muhimu kwa Afya njema za Wafanyakazi.
TUICO ingependa kuona hali ya upatikani wa Huduma za Matibabu inakuwa nzuri na Bora kwa Maslahi mapana ya Wafanyakazi na Waajiri kwa Ujumla.
Afya Bora ni Msingi kwa Tija Kazini.