@namelesskenya amekanusha kuwa alifanyiwa vasectomy, akidai alinukuliwa visivyo wakati wa mahojiano ya awali. "Hamujui jokes buana. Ili nieleweke, nilisema tu nawazia kwenda kufanyiwa vasectomy, sijaenda...
https://t.co/KOZq63knOI
Rigathi Gachagua amewaonya magavana wa Azimio la Umoja dhidi ya kupinga Mswada wa Fedha wa 2023.
Gachagua amesisitiza ugavi wa mapato ya serikali kwa kaunti unategemea ikiwa kaunti itaunga au kupinga.
https://t.co/J6Zz7Rtt0E
"Hata hiyo 0% hatutaki," Mkenya alisema kwenye Facebook. Wakenya walikemea @MillicentOmanga kwa kufurahia pendekezo la kupunguzwa kwa ushuru wa nyumba kutoka 3% hadi 1.5%. Wengine walishangaa itachukua muda gani kwa mtu kumiliki nyumba akikatwa 1.5%.
https://t.co/51bQiF87sW
VIFO VYA SHAKAHOLA CULT: Wafuasi 65 wa Mackenzie walifikishwa kortini kwa shtaka la kijaribu kujiua kwa kukataa kula walipokuwa katika Kituo cha Uokoaji huko Kilifi. #tukonews
https://t.co/sW3YrXUE9I
Mbunge wa Githunguri Gathoni Wamuchomba amekashifu Mswada wa Fedha wa 2023 na kusema ni dhalimu, unaadhibu na utakaowaumiza Wakenya.
https://t.co/HJih4THVbR
Kando na kujiuzulu kazi yake, Omboga pia aliuza kipande chake cha ardhi kumfanyia kampeni Ruto huko Rongo, kaunti ya Migori.
Anadai rais amebadilika muda mfupi kwani wale ambao hawakumfanyia kampeni Ruto wamefurahia pakubwa starehe zote zinazowezekana.
https://t.co/juA56CaXDr
Ijumaa, Juni 9, Raila alichapisha wilbaro iliyochakaa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii na kudai ndivyo hali ilivyo.
Wakati wa kampeni, Ruto alijidhihirisha kama mtetezi wa maskini akijiita 'Hustler' na kuchagua wilbaro kuwa nembo ya chama chake.
https://t.co/ilFNRBicNs
DPP Noordin Haji aliondoa kesi ambayo CAS Dennis Itumbi alishtakiwa kwa kughushi barua ya kuwapo njama ya kumuua Naibu Naibu Rais wa wakati huo William Ruto.
Haji alitaja ukosefu wa ushahidi wa kuendesha kesi dhidi ya Itumbi na Samuel Gateri.
https://t.co/s73G6NuWQu
Trend mpya imezuka kwenye mitandaoni ya kijamii ikimhusisha Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Wakenya wamkuwa wakumuiga Gachagua kutokana na mitindo yake ya starehe.
https://t.co/F61R1MhXW2
Makabiliano yalishuhudiwa Bunge la Kitaifa alasiri ya Alhamisi, Juni 8, wabunge walipoidhinisha kuwasilishwa kwa makadirio ya bajeti.
Matukio hayo ya vurugu yalisababisha Spika Moses Wetang'ula kuchukua hatua ya kuwatimua kwa muda baadhi ya wabunge.
https://t.co/6nTk7pv4J1
Spika .@HonWetangula alikataa kuidhinisha kuondolewa kwa Sabina Chege kutoka wadhifa wake wa naibu wa kiranja wa upande wa wachache hatua ambayo uliwapa kichefuchefu wabunge wa Upinzani.
https://t.co/xTngEZ33PM
Seneta Edwin Sifuna amepuuza Mpango kabambe wa Rais William Ruto wa Nyumba za Gharama Nafuu.
Kulingana na katibu mkuu huyo wa ODM, rais ana historia ya kutotekeleza ahadi zake kuhusu masuala ya miundombinu.
https://t.co/CZaj7Es8ci
@HonWetangula ilikataa kumwondoa @SABINACHEGE kutoka wadhifa wake wa kiranja wa wachache Bungeni.
Uamuzi huo ulikasirisha wabunge wa Upinzani na kusababisha rabsha Bungeni.
Sabina alilazimika kutafuta matibabu baada ya kujeruhiwa wakati wa vurugu hilo.
https://t.co/xTngEZ33PM
@rigathi amekuwa akitrend kupitia challenge ya Wakenya mitandaoni, huku moja ya trend hizo ikiwaonyesha Wakenya wakiiga picha yake alipokuwa amekalia nyasi.
Trend ya pili ilikuwa ni ile ya Wakenya wakiiga mtindo wake wa kucheza mdundo wa kimaasai.
https://t.co/eZz6ObGgnR
Mwalimu wa shule ya chekechea anadai kujifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Mama Lucy na mtoto kupelekwa chumba cha watoto.
Mama huyo alisema alipokwenda kumnyonyesha mtoto, alikuta akinyonyeshwa na mwanamke mwingine. #tukonews
https://t.co/UDhZeOqvFZ
Kinara wa muungano wa Azimio Raila Odinga amedokeza Alhamisi ataweka wazi mstakabali wa Azimio kuhusiana na kurejelewa kwa maandamano.
Raila amesema serikali ya Kenya Kwanza imeshindwa kuendesha serikali ifaavyo.
https://t.co/cAWhbXOvsO
Okiya Omtatah amesema kuwa kuna wabunge wa Kenya Kwanza ambao wanaunga mkono kesi yake dhidi ya mswada wa fedha.
Omtatah amesema kuwa baadhi ya wabunge hao wamekuwa wakimpa fedha za kuendeleza mchakato wa kesi hiyo.
https://t.co/KOoTZ7efqn
@DonaldBKipkorir alizidiwa na hisia kuhusu kitendo cha marafiki karibu waliosimama naye mama akiugua na baada ya kifo chake.
Kipkorir alisema ingawa haamini katika uchangishaji fedha, marafiki zake wa karibu walimuunga mkono ili kulipia bili kubwa.
https://t.co/ADDXz6k23P
Erick Mwaura mwenye umri wa miaka 17 alifanyiwa upasuaji mnamo Jumatano, Mei 10 katika hospitali ya Kenol kuondoa vipandikizi kwenye mkono wake uliokuwa umevunjika.
https://t.co/6ls1E429Me
"Ada nyingi katika mswada wa fedha hazieleweki na ni wazi zinawalenga wafanyabiashara wadogo wa Mlima Kenya," Martha Karua alisema.
Kiongozi huyo wa Narc Kenya amemshtumu Rais Ruto kwa kupendekeza mswada wa fedha ambao kulingana naye ni dhalimu mno.
https://t.co/T8fPA2xSux