Cameroonian opposition leader Anicet Ekane died in detention today (Dec. 1, 2025). Arrested in October for protesting the sham reelection of Paul Biya—yes, the same Biya who has been clinging to power since 1982. One can only hope his spirit follows the septuagenarian strongman all the way to his swanky European hotel where he mostly lives, haunting every gilded corridor.
unatumia nguvu kubwa sana kumsafisha rafiki ako Madenge, ila ukweli kazingua sana, amechagua upande wa watesi wetu. ile ilikua reli, alijua anachokifanya, kila kitu kilikua well planed na ndo maana watawala wanapita mulemule. very sad!
Jamaa mmoja alisema siku moja “ Kunywa nyumbani badala ya kunywa baa hakuniendei vizuri sana. Hivi karibuni nilikaribia kumuomba mke wangu namba yake ya simu”
Walikusanya data kwa akili na maarifa makubwa. Tangazo lilikuwa, Leteni majina ya walioumizwa na waliouwawa wa imani yetu na wasio na imani yetu ili tuweze kuwaombea.
WE CHALAMILA DAR HAKUNA MZEE NA NCHI HAINA RAIS!
Oneni huyu Pampula anavyoleta habari za kiduanzi. SIKILIZA MJOMBA… Dar Hakuna MZEE, Wazee wa Dar ni GEN Z! Uzee mwisho Chalinze, so kama anataka aende MSOGA huko ndio akaongee na Wazee.
Pili, Sisi wengine wote HATUMTAMBUI wala HATUMTAKI huyo RAIS HARAMU, MWIZI WA UCHAGUZI, asiye na UTU na MUUAJI WA WATOTO WA TANGANYIKA.
SAMIA na GENGE LAKE, ni MAGAIDI, WAHAINI, WAUAJI… Tuachie Nchi yetu, nenda katafute nyingine ya kuichezea sio yetu.
Huyu Mlevi anatwambia “Nchi inarejea kwenye Amani” huku anamnadi aliyeivunja Amani ya nchi kwa kuua WATOTO?! Kamtuma Yule Mlughalugha MADELU asambaze Propaganda, ndio anataka jitokeza kuongea. TUTA DEAL NA NYINYI VYEMA TU…
WANYALUKOLO HUU MWEZI MMETUANGUSHA SANA. Smh
We will not stop until justice is served!
HATUA
1. Huwezi kuzungumzia maridhiano kabla hujakiri kuwa watu waliuawa kwa risasi za moto.
2. Waliuawa na nani.
3. Tujiulize tulifikaje hapa.
4. Tume huru ya uchunguzi ambayo haihusiki na anayeshukiwa kuhusika kuua.
Fr. Charles Kitima
Watu walikaa ndani, wakawa wanafuatwa Oktoba 30 na 31 kupigwa risasi.
Katoliki tuna zahanati mpaka hospitali zaidi ya 400, yaliyotokea Mwananyamala na sisi tunayo, mochwari zilijaa.
Polisi mmoja alisema msiwatibu hawa tunataka kuwaona mochwari, tulikataa.
Fr. Charles Kitima
Sisi kama kanisa ni wahanga, tulishapewa tahadhari tutapotezwa, hatupuuzi.
Ametekwa Padri Jordan Kibiki Mafinga.
Ametekwa Padri Padre Camillus.
Tarehe 26 Novemba 2025 juzi mwanafunzi wa usista ametekwa Mwanza.
Tusikilizwe ama tusisikilizwe tutaongea.
Fr. Charles Kitima