@Sisimizi3 Wewe ndo wasema hicho ni kikombe ila kwa sisi tusiendekeza uchawa tunaona hiyo ni hatua muhimu kwake kufikia kwenye ndoto ya kulitumikia taifa lake kikamilifu pasipo unafiki
@_zack255 Naona unaandika kama vile huijui hii nchi kwamba tuna katiba mbovu ambayo inamfanya Rais kuwa mungumtu.
1.Ulitegemea nchimbi aendelee kubaki kuwa boya angali hapewi nafasi ya kutumia mamla yake?
2.Kusema tunataka katiba ndo kosa?
Hebu jishikilie
@mshambuliaji Tunajua kapeleka ombi la Mama yake apewe msaada wa kijeshi endapo mambo yatanuka maana kuna kila dalili ya mama yake kupigwa kofi la tako akakalishe ushungi nyumbani