“Waheshimwa majaji, siyo kila shahidi anaruhusiwa kutoa ushahidi wa kila kitu. Mkiruhusu upande wa mashtaka waingize ushahidi wa shahidi huyu utakuwa ni ushahidi wa ziada, ni kwamba tutahama kutoka katika kesi ya uhaini iliyopo mbele yetu, na tuanze kujadili kesi ya kujadili kuchana karatasi za kura. Walete ushahidi wa mambo ambayo wananituhumu nayo katika hati ya mashtaka. Walete ushahidi wa mashtaka ya uhaini. Mahakama ikiruhusu kuleta mambo yasiyokuwepo, inaruhusu kufungua sanduku la pandora. Humo ndani ya sanduku kumejaa uchafu na madudu ya kila aina. Mahakama isiruhusu jambo hilo” - Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 10 August 2026
Ukiwa muongo, msaliti au chawa, unahitaji kumbukumbu kubwa kulinda uongo wako. Ukweli hukuweka huru, lakini uongo hukufanya mfungwa wa maigizo yako mwenyewe.
Kongole kwako mwandishi wa habari, wewe sio kama wale wanaohudhuria press conference huku fikra zao zikiwaza chai!
Jamani kama kuna chama kinakwamisha madhumni ya wananchi ndo hiki chama yaani hapa wametumia code kukwamisha malengo ya chadema wakataeni mchana kweupe peeee peeee polepole alisema wakataeni wahuni wanao ibagaza nchi miongoni mwao ni hawa
Wito umetolewa kwa Serikali na taasisi za usimamizi wa fedha kufanya uchunguzi wa kina kuhusu michango inayokusanywa na CHADEMA, ili kubaini iwapo fedha hizo zinatokana na vyanzo halali na zinazingatia matakwa ya sheria za nchi.
Wachambuzi wa masuala ya fedha wanaeleza kuwa, kutokana na ongezeko la michango inayopitishwa kupitia mifumo ya kidijitali na akaunti mbalimbali, ni muhimu mamlaka husika kuhakikisha kuwa fedha zote zinazoingia katika shughuli za kisiasa zinatokana na vyanzo vinavyotambulika kisheria na si matokeo ya vitendo vya utakatishaji wa fedha au uhalifu mwingine wa kifedha.
Kwa mujibu wa wachambuzi hao, uwazi katika ukusanyaji na matumizi ya michango ya kisiasa ni msingi wa kujenga imani ya wananchi na kulinda mfumo wa kifedha wa nchi. Wanashauri kuwa taasisi zenye mamlaka ziendelee kufanya ukaguzi wa mara kwa mara pale panapokuwa na sababu za msingi za kufanya hivyo.
Aidha, wameitaka Serikali kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya taasisi za usimamizi wa fedha na vyombo vya dola ili kuhakikisha kuwa sheria za kuzuia utakatishaji wa fedha zinatekelezwa kwa usawa kwa kila taasisi, chama cha siasa au mtu binafsi bila upendeleo.
Hata hivyo, wachambuzi wanasisitiza kuwa endapo kutakuwa na tuhuma zozote dhidi ya chama chochote cha siasa, ni lazima uchunguzi ufanyike kwa kuzingatia sheria na ushahidi, na hitimisho litolewe na mamlaka husika badala ya hukumu kutolewa kabla ya uchunguzi kukamilika.
Kwa kufanya hivyo, taifa litaendelea kuimarisha uwajibikaji, kulinda mfumo wa fedha na kuhakikisha ushindani wa kisiasa unafanyika kwa kuzingatia sheria na misingi ya utawala bora.
#KemgongoUPDATES
"Kamati kuu imepitia Bajeti ya nchi kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 na kuona bajeti hiyo ni ya uongo na haiakisi changamoto za kimaisha za Watanzania na ina lengo moja tu kumtopesha Mtanzania katika lindi la umaskini. Aidha, Katika kupitia Bajeti hiyo, Kamati Kuu imeona kwamba bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 haijaweka fungu lolote lile kwa ajili ya kugharimia mchakato wa kuandika Katiba mpya ya nchi." Mhe. @jjmnyika
Kama hizi habari ni zakweri naona kuchafuka kwa nchi hapa hapatakuwa na subila wala msalie mtume kitakacho jili nikifo au kisasi maana tumewavumilia SANA Hawa watu mpaka saizi Kuna wanachama wamevunjwa miguu kwa kipigo kwa muujibu wa ripot ya mnyika hapa patakuwa upanga kwa upang
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…

AKILI KUBWA,,MTAZOMO BORA,,TUMAINI BORAKWA WANANCHI,,WATETEZI WA HAKI ZA BINADAM,,MUNGU HUFANYA NJIA PASIPO NJIA ACHA WAWAKASHIFU ILA KUNA SIKU YA MAJIBU MUNGU WETU HALALI WALA HASINZII MBALIKIWE SANA