@swahilitimes Sheria gani inayo mluhusu polisi kuua raia au kumvamia raia.? Nisheria gani inayo mlusu polisi kufanya majukumu yake. Kwa upendeleo? Sina budi kusema jeshi la polisi πΉπΏ linatumika na chama tawala maana siyo kweli kuwa ccm niwatakatifu sana
@mangekimambi Inawezekana lakini πΉπΏ walio wengi wana ng'ata nakupuliza nawafata mkumbo pia niwengi kiujumla πΉπΏ hatuna umoja kama inavyo julikana wala πΉπΏ haina uhuru wala amani kama inavyo tambulika mema mengi yapo mikononi mwa watu binafusi π