Bongo ndio nchi nyepesi sana kuanza upya maisha.
Ukitoka Dar, ukaenda Wilaya mojawapo ya Morogoro, unaenda kuanza maisha upya bila mtu kukujua na matendo yako umewahi kufanya ๐
MamaRitha : Huko unapoenda usije ukaniletea Mrombo, Mpare sijui Watu gani hawaeleweki,sitakuelewa"
Kana kwamba nshamletea hata Mgogo within past 5yrs๐, Ana expectation kubwa sana mbona huyu....
You underrate namba Mbili. Anyway wote kati yao siwaoni kwenye io. 2030 will be a total surprise. nchi itapata raisi mwenye Umri mkubwa zaidi kuwahi tokea nchini. He will be above 70 years Old.
My future kids nikiwapeleka shule. Utaratibu ni mmoja tu. Discipline & academic excellence tu. Mwalimu apige tu aslong ni disciple matters muhimu asimuue au kumvunja kiungo wala kumuonea.
chazi una mdogo wako mfano yeye angefanyiwa ivo kuna muda tujifunze kuzuia hasira zetu,siku zote hakuna maamuzi wakati wa furaha iliyo zidi /hasira iliyozidi yaliyo wahi kuleta matokeo mazuri ndo maana tunaambia tufanye mambo kwa kiasi hekima ikiwa ndani yako kuna mambo utapuuza
@trice_blessed Kwanza kumpiga haitoshi wampe na shamba alime Ata robo eka, atengeneze matuta ya karoti na viazi angalau ma5. Afyeke eneo la kutosha tu.