Yess!! Wakati Mwingine lazima utambue ya kwamba Vita ya Mafanikio nikubwa sana!!
Hakuna hata mmoja ambaye anatamani wewe ufanikiwe kwaio unapoanzisha safari yako ya mafanikio kumbuka unaongeza idasi kubwa sana ya Maadui hasa wale ambao wenye roho za chuki na za kimasikini
Yess!!! Wakati Mwingine Usiogope Kuanza Upya..Kumbuka Kwenye Kila Changamoto Ambayo Unapitia Kwenye Maisha yako Mbele Yake Kuna Fursa Kubwa Mno Ambayo Imebeba Mafanikio yako,,Ivyo Jifunze Kuinuka Unapoanguka,Ukianguka usikae chini simama Endelea na Safari Usikate Tamaa #DEWINNER
Yess!!...Wakati Mwingine Watu wanaokuchukia wanaweza kushawishi wengine wakuchukie pia lakini habari njema ni kwamba hawawezi kumzuia MUNGU kukubariki......#dewinner
_Yes!! wakati mwingine Unapokula kwa Kijiko Usisahau Kuna Wengine Wanakula kwa Mikono Kumbuka Vizuri Hili…..Na usiku huu unapoelekea kulala sehemu nzuri na kujifunika shuka, Kumbuka kuna mtu muda huu yupo nje analala barabarani au stendi au kwenye vibalaza vya watu,kumbuka
Yess!!! wakati Mwingine Maisha hayapo fair, ile pesa ya mtaji ambayo wewe unayoitafuta ili uanzishe biashara kuna mtu anainywea bia kila siku/weekend….
Kuna muda utafika utaangalia na kuona pombe bado zipo, wanawake bado wapo, pesa bado zipo, mitandao ya kijamii bado ipo kila starehe bado ipo ila Umri wako ulishakwenda na opportunities nazo zimetoeka, Linda sana ujana wako usije kujuta baadae
Yes! Kuna Wakati MUNGU anaweza kuruhusu Dharau zikufikie Kwa sababu unastahili kudharauliwa, Kwa Wakati Huo,Maana ndio njia pekee itayo kupeleka Kwenye Heshima na Mafanikio unayomuomba Kila siku akupe...~DEWINNER
Kama ambavyo mtu anatumia muda mwingi shule ili kupata diploma, degree, masters whatever!!!
Hiyo principle ina apply mpaka kwenye kupata mafanikio ya kiuchumi, Sio jambo la miujiza ni mchakato wa muda mrefu unaohitaji uvumilivu, kujitoa na nidhamu ya hali ya juu.
Tupambane📌
Yes! Unapoanza safari yako ya Mafanikio. Kuna wakati lazima ukutane na Vikwazo, kuna Nyakati ukataliwa kuna wakati utakata tamaa,kuna wakati utaona unapoteza Muda ila Nakusihi usirudi Nyuma Songa mbele...#DEWINNER
Yes! Unapoanza safari ya Mafanikio lazima ukutane na Vikwazo,Lazima ukataliwe kuna wakati utakata tamaa,kuna wakati utaona unapoteza Muda ila Nakusihi usirudi Nyuma Songa mbele...#DEWINNER
Wakati Mwingine Usiogope Kuanza Upya..Kumbuka Kwenye Kila Changamoto Ambayo Unapitia Kwenye Maisha yako Mbele Yake Kuna Fursa Kubwa Mno Ambayo Imebeba Mafanikio yako
Ivyo Jifunze Kuinuka Unapoanguka,Ukianguka usikae chini simama Endelea na Safari Usikate Tamaa ~DEWINNER
Yes!!..kuna wakati ulipoteza, ulipata, ulishinda, ulishindwa, ulilia, ulicheka, ulipendwa na hata kuchukiwa pia. ila juu ya yote ulijifunza. kumbuka, wakati mwingine hali tunazopitia maishani ndio zinatufanya tujipate na kuwa bora......#Dewinner
Yes!!..Kama umefanikiwa kuamka salama, Usiache kuwaombea na ndugu zetu waliopo Hopstalini,,Kwani Uhai Tulionao kwa sasa Unaweza Ondoka muda wowote kwa Namna yoyote ile....#DEWINNER