@ItsKamala ... Kama ungekua ulisoma na ukawa na uelewa hapohapo sekondari ungeweza kuielewa kwenye somo la Bailojia mada ya Evolution.
Hiyo ni nadharia, haipo kwaajili ya wewe au mtoto wako kuiamini. Nadharia za kisayansi zipo kujibu maswali yanayomuhusu binadamu kwa uelewa wa kisayansi.
@ItsKamala Huwezi kuandika neneo "Nadharia" unaandika "Nadhalia".
Hauna uelewa sahihi wa nadharia ya mageuzi. Maana hakuna popote inaposema binadamu alitokana na nyani(Kiashiria kwamba ulikua kilaza mno skuli)
Nadharia hii haifundishwi kwenye History pekee,ni nadharia ya kisayansi.
@iambenjaminor Lugha ya Kiswahili, kama zilivyo lugha zote kubwa duniani inakubali utaofauti wa kilahaja za kijiografia.
Kwahiyo hakuna ipi ni sahihi wala ipi si sahihi.
@Roma_Mkatoliki Ukitaka kujua huko upinzani kumeoza ww angalia tu jinsi ambavyo wanavyomkubali Magufuli sasa hivi.
Magufuli ana watu wengi mno upinzania sasa hivi.
@PapiiKhan98 Lugha zote duniani zina sifa hiyo.
Hata neno Tanzania halipo common kwenye lugha zote.
Kuna majirani DRC, Rwanda na other French speaking countries kwenye official documents zao tunaitwa Tanzanie.
Mozambique tunaitwa Tansánia.
@jasper_joram@mTusiOriginal Yaani mhuni kabisa demu wako awe Lucita?
Huyo ni malaya kama malaya wengine hapo Buza.
Kampani yake yote ni malaya middle class hapo Buza, Temeke na viunga vyake.
Anauza sana kuma Savoy na Pade.
Kama hadi Lucita mnamuoa basi wenye matatizo ni wewe na huyo mshikaji wako.
@amprincess9 Kwenye ulinzi na usalama wa biashara,CCTV SIO njia ya kukamata au kuzuia wezi, kazi yake ya msingi kiusalama ni KURAHISISHA ZOEZI LA UCHUNGUZI wa uhalifu wa aina yoyote ikiwemo wizi. SURVEILLANCE infrastructures ni requirement ya premises za kibiashara mataifa mengi.
@EsirEid Kwa mfumo wa elimu ya Tanzania vyuo vikuu vinapokea WATU WAZIMA wenye miaka 20 na kuendelea.
Si rahisi kumkuta kijana wa miaka chini ya 18 anaanza undergraduate degree.
Hili ni letu sisi wazazi tusiwape lawama wengine.
All Paid Courses (Free for First 4000 People)
🎯 Social Media Marketing Course
🎯 WordPress Development Course
🎯 Facebook Ads Course
🎯 Search Engine Optimization
🎯 Email Marketing Course
🎯 Amazon Business
🎯 Fiverr Freelancing Course
🎯 Graphic Designing
🎯 Video Editing Course
🎯 Ecommerce Business Course
🎯 Dropshipping Course
🎯 Shopify Course
🎯 Web Development & Design.
🎯 And Many More
🚨 FREE for 48hrs only 🚨
To get Simply:
1) Follow me [ MUST! ] for DM access
2) Like & Repost
3) Comment "All " to grab your copies.