@kigogo2014 Ha ha ha, yaani dunia hii ina maajabu yake, njaaa mbaya sana. Ili mradi mseme kitu flani hata kama hakina maana. Well, sisi tunaweza kuwa bora kwa kuwasilisha taarifa nzima na details zake, wenzetu wakawasilisha muhtasari tu.
@millardayo Ni kweli kabisa. Hawa"motivation speakers" wengi, hawajasoma au kupata uzoefu wa kutosha katika kile wanachozungumza, wana google kidogo, wanatafuta viingilio. Pili wanazungumza machungu yao, hasa katika maswala ya ndoa na mahusiano, yaonekane ndiyo uhalisia. Jiridhisheni kwanza.
@Herculses@kigogo2014 Huyu, alikiri kosa la uhujumu uchumi na akafanya bre-bargaining na DPP. Kwa hiyo alikuwa amehujumu uchumi wa nchi. Na alilipa kupitia account ya DPP ambayo iko BoT. Sasa anasema sheria inazuia DPP kulipwa. Haijulikani anataka nini, arudishiwe??
@Herculses@Tz_Kwanza Kuna kitu hakijaeleweka. CDM nzima, wana agenda moja tu ya kina Mdee? Na je wakitolewa bungeni, CDM watapata faida gani, mfano ongezeko la viti bungeni nk? Au wataongeza mapato ya chama? Kwa vile hayo yote yako very unlikely kutokea. Sioni haja ya kuhangaika hivi!!!
@kigogo2014 Watanzania tunajua faida zake. Ndiyo maana mwenge huu wa uhuru unaendelea kuliangaza taifa na kubeba jumbe maalum kila mwaka na kuleta umoja ambao huko kwingine wanatamani kuwa nao lakini hawana.
@7_goody@HKigwangalla Huyu anaweza kuwa na agenda nyingine maana campaign zake ni za kutaka chanjo zinunuliwe hata kama COVID 19 haina kasi ya kuonekana kama tishio kubwa hapa kwetu. Mtanzania kwa sasa ukimweleza habari za chanjo labda utumie propaganda za hali ya juu sana. Watu tunaishi nayo tu.