Want to join the UNESCO team? Here's your chance!
We're looking for a Lead National Expert to prepare an AI Readiness Country Report.
Duty Station: Tanzania
Duration: 5 months
Application Deadline: 31 August 2024
https://t.co/nZ3JwNaiMM
Imebaki siku moja! Usikose mafunzo maalum kupata ujuzi na maarifa kukuwezesha kunufaika na fursa za kidigitali, pamoja na jinsi ya kupata kipato kupitia majukwaa ya kidigitali, kesho Alhamisi tarehe 15 Agosti 2024, Maktaba Mpya, UDSM kuanzia saa 3:00 asubuhi. #FursaZaKidigitali
Waandishi wa habari chipukizi kisiwani Pemba wameanza mafunzo ya kuwajengea uwezo kuandika habari za Wanawake na Uongozi ikiwa ni awamu ya tatu ya programu inayotekelezwa na TAMWA ZNZ kwa kushirikiana na Shirika la @NEDemocracy.
#MwanamkeNiKiongozi
"Kwasasa tunazingatia zaidi Waandishi ambao wanatumia mitandao ya kijamii kwa kiwango wa cha juu badala ya kutumia vyombo vyenginevyo vya habari ikiwemo Radio, Magazeti na Runinga" Afisa Habari Tamwa, Pemba Gasper Charles
@TAMWA_Zanzibar@MwanamkeUongozi#Mwanamkekiongozi
"Kuna changamoto kadhaa ambazo tumeziona ikiwemo mitazamo hasi kwenye jamii ambapo baadhi wanaona michezo ni uhuni, lakini pia ukosefu wa vifaa na miundombinu kwaajili ya michezo," Khairat Haji, afisa program TAMWA ZNZ.
Bonanza la Gombani Pemba #MichezoKwaWote
"Elimu kwa jamii inahitajika zaidi ili kutoa mwamko wa watu kushiriki kwenye mazoezi. Ni lazima tusimame pamoja ili kila mmoja wetu aweze kushiriki mazoezi kwaajili ya afya yake," Hamad Malengo, mwenyekiti klabu ya mazoezi Gombani.
#MichezoKwaWote
"Tunajua mnafanya jambo kubwa kwa jamii na nchi yetu kwani kama kuna jambo ambalo nchi inapata hasara ni kwenye matibabu. Na matibabu ya maradhi yasiyoambukiza kwahakika ni ya ghali sana na nyinyi nyote ni mashahidi," Mhe. Othman Masoud, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
📍"Niwaombe tuweke kanuni za kusiamamia maadili zitakazondoa dhana potofu kwa jamii ili tuweze kuwavutia watu wengi kushiriki mazoezi kukwasababu hili jambo ni jema zaidi," Mhe. Othman Masoud, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Bonanza la #MichezoKwaWote
📌Wanamichezo kutoka sehemu mbalimbali wameungana alfajiri ya leo kushiriki Bonanza la Gombani Pemba lililoongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman.
Tunahimiza ushiriki wa makundi yote katika mazoezi na michezo #MichezoKwaWote
Inaonekana biashara ya ENERGY DRINKS 🍸 imeshika kasi sana sokoni. Hii maana yake nini? Wataalam tujuzeni please... Siku hizi kwenye kundi la vijana 5 kama hawanywi Pombe basi kinywaji chao pendwa ni ENERGY. 😚😚
“Twende mbali zaidi kutoa ya elimu lishe kwa jamii. Kwani wengi tumeacha sasahivi vyakula asilia. Mwingine anaona pengine vyakula asilia sio usasa.” Mhe. Othman Masoud, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.
#MichezoKwaWote
"Niwaombe tuweke kanuni za kusiamamia maadili zitakazo ondoa dhana potofu kwa jamii ili tuweze kuwavutia watu wengi kushiriki mazoezi kukwasababu hili jambo ni jema zaidi," Mhe. Othman Masoud, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Bonanza la #MichezoKwaWote
📍Ukosefu wa miundombinu na vifaa wezeshi vya mazoezi ni kikwazo katika ufikiaji wa usawa wa kijinsia kkwenye michezo na kuomba serikali na wadau kusaidia kuboresha miundombinu hiyo ili kuwezesha kila mmoja kushiriki bila kikwazo.
#MichezoKwaMaendeleo
📝📍Julai 23, TAMWA ZNZ imekutana na waandishi na wadau wa habari kupokea mrejesho wa program ya mapitio ya sheria za habari ambazo ndani yake kuna vifungu vinavyokwaza #UhuruWaHabariZanzibar
Ni upi mrejesho/maoni yako kuhusu programu hii ya Uchechemuzi wa Sheria hizi?
Karibu
📍BONANZA LA MICHEZO GOMBANI limewaunganisha wanafunzi Shule za Sekondari Shamiani & Dkt. Salim Ahmed kupitia mechi ya mpira wa miguu ikiwa ni mwendelezo kuelekea kilele cha Bonanza hilo Jualai 28. Mgeni rasmi atakuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman
📍Unajua kuwa kushiriki kwenye michezo kunasaidia kuondokana na mawazo potofu yanayoweza kukupeleka kwenye uhalifu?
Umewahi kukutana mtu ambaye bado anaamini wanawake kushiriki michezo ni 'uhuni'?....
Kama NDIYO!! mwambie anakosea sana kwani #MichezoKwaWote