Marathon hiyo imefanyika kwa hamasa kubwa huku ikiwakutanisha washiriki kutoka mikoa mbalimbali nchini waliojitokeza kushiriki na kuunga mkono jitihada za kuhamasisha michezo, afya na mshikamano wa kijamii.
#UhondoTVUPDATES
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma @MwanaFA, ameongoza maelfu ya washiriki katika mbio za #TCBSelousMarathon zilizofanyika katika Mji Kasoro Bahari mkoani Morogoro Juni 20 2026.
#PICHA: Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Aprili 28,2026 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima. Jaji Mwambegele yupo mkoani Morogoro kufungua mafunzo ya siku tatu kwa watendaji wa
Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 22, 2026 amepanda mti aina ya Mchungwa katika eneo la Rest House ya Polisi mkoani Kilimanjaro.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amemaliza ziara yake ya kikazi mkoani Kilimanjaro jana Februari 21, 2026.
Viongozi hao wa Tume wapo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ambapo wametembelea na kukagua maandalizi ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Shiwinga, Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe unaotarajiwa kufanyika Februari 26, 2026.
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk leo Februari 19, 2026 akiwa na Mjumbe wa Tume, Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar wamemtembelea ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Jabiri Omari Makame.
#PICHA: Waziri Mkuu, Dkt. @mwigulunchemba1 ametembelea Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kwa lengo la kusalimia Viongozi wa Chama hicho kabla ya kuendelea na ziara zake za kikazi leo tarehe 15 Februari, 2026.
#UhondoTVUPDATES
#PICHA: Waziri Mkuu, Dkt. @mwigulunchemba1 amesafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dodoma kuelekea Dar es Salaa leo Februari 7, 2026.
#UhondoTVUPDATES
#PICHA: Waziri Mkuu, Dkt. @mwigulunchemba1 akipokea kutoka kwa Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar hundi ya shilingi bilioni 200 ambazo ni ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mitaji ya kuwawezesha vijana na wanawake,
hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Februari 05,2026. kulia ni kutoka kwa Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar na kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) William Lukuvi
#PICHA: Waziri Mkuu, Dkt. @mwigulunchemba1 akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Mhe. Joel Nanauka, hundi ya shilingi bilioni 200 ambazo ni ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya mitaji ya kuwawezesha vijana na wanawake,
Viongozi hao wamejadili kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati ikiwemo Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR kipande cha 3 na 4) pamoja na kujadili fursa za kuimarisha ushirikiano wa kifedha baina ya Tanzania na Serikali ya Poland.
#UhondoTVUPDATES
#PICHA: Waziri Mkuu, Dkt. @mwigulunchemba1 amefanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara ya Fedha pamoja na Taasisi ya Usafirishaji wa Bima ya Mikopo (KUKE) kutoka nchini Poland ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma leo Februari 4, 2026.
Afrika Mashariki.
Tuzo hiyo ilitangazwa rasmi katika Hafla ya Superbrands Tribute iliyofanyika jijini Nairobi, mkutano wa ngazi ya juu uliowakutanisha zaidi ya viongozi wakuu 200 kutoka mataifa mbalimbali ya ukanda huu.
#UhondoTVUPDATES
Shirika la Bima la Taifa @nic_tanzania limepata tuzo ya Superbrand kwa mara ya pili mfululizo, hatua inayothibitisha sifa yake kama moja ya watoa huduma za bima wanaoaminika zaidi katika ukanda huu na kuonyesha kuimarika kwa mchango wake katika sekta ya huduma za kifedha
Bonanza hilo limewahusisha Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge, Taasisi mbalimbali pamoja na wananchi.
Kaulimbiu ya bonanza hilo ni βUMOJA WETU NI NGUVU YETU.β
#UhondoTVUPDATES
#PICHA: Waziri Mkuu, Dkt. @mwigulunchemba1 leo Januari 31, 2026 ameshiriki kwenye Azania Bank Bunge Bonanza 2026 linalofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma.
#PICHA: Waziri Mkuu, Dkt. @mwigulunchemba1 akihitimisha Hoja ya kujadili Hotuba ya Rais Dkt. @SuluhuSamia aliyoitoa Bungeni wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13, Bungeni jijini Dodoma, Januari 30, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
#UhondoTVUPDATES