Leo tumepata nafasi ya kutoa tuzo ya Malikia wa Nguvu katika sekta ya afya Prof. Paulina Melle tukiwakilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wetu (CEO) Dr Derick Nyasebwa @drderickofficial kwa kushirikiana na @hamisamobetto Tutaendelea kushirikiana na wadau wetu wote @CloudsMediaLive
...kuanzia saa Tano asubuhi (11:00Hrs) hadi saa nane Mchana (14:00hrs) usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0745-330-418 au kututembelea moja kwa moja Hospitalini kwenu Mtaa wa Rufiji Jijini Mwanza
Tunawapenda sana
#HeriYaMwakaMpya2021 🎊🎁🎆
DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA NGOZI
Tunatambua changamoto unayopitia ya maradhi mbali mbali ya ngozi ikiwemo kuwashwa, 'Fangasi' na mengineyo ndio maana tunakuletea Dr Durey Nayab @dr.durenayab_yourdermatologist ambaye ni daktari Bingwa wa magonjwa ya ngozi kila siku kuanzia sa..
Heri ya Mwaka Mpya 2021. Tunakushukuru wewe mdau wetu kwa kutuchagua kukuhudumia kwa mwaka 2020
Tunaomba ushirikiano wako kwa mwaka 2021
Tupo kuhakikisha kuwa Kila tunachofanya kinalenga kuboresha afya yako
Happy New Year Once Again
🎊🎼🎊
HUDUMA ZA CT SCAN KWA NHIF ZINAPATIKANA
Tunapenda kuwajulisha kiwa kwa sasa huduma za CT Scan kwa wanachama wa NHIF zinapatikana. Ikiwa wewe, ndugu, Jamaa au rafiki una uhitaji wa huduma hii usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0744-442-444 au kututembelea Hospitalini
#Asante2020
Steve Never Listened To Customer’s Comments As He Believed “What Customers Say They Want From You Is What Probably Exactly What The Same Thing They Tell Your Competitors Too”
What to look for when evaluating a start idea
1. 🤤 Product-Market Fit
2. 🌎 Market size
3. 💥 Why now
4. 👋 Distribution
5. 🤝 Team
6. 🛡️ Moat
7. ⚙️ Business model
(read on)
COVID-19 UPDATE; Mpaka Leo hii kwa mujibu wa @wizara_afyatz Idadi ya maambukizi imefikia 480 huku wagonjwa waliopona ni 167 na Vifo ni 16
Kutoka kwetu @uhuruhospital tunaendelea kuwakumbusha watanzania wote kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya Lazima.
3. matibabu
Tuchukue nafasi hii kwa dhati kabisa kuwashukuru Waziri wa Afya @ummymwalimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh @Johnmongela RMO #DrThomasRuta kwa juhudi zao katika kufanikisha hili. Mmeonyesha uongozi wa Mfano
Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba +255-744-442-444
Tunawapenda..
2. Tunapenda kuujulisha umma Ijumaa tunaanza kutoa huduma katika Hospitali yenu ya RUFAA (UHURU REFFERAL HOSPITAL) iliyopo iliyopo ISENI, BUTIMBA Jijini Mwanza ili kuwapatia wagonjwa eneo kubwa ambapo wanaweza kukaa umbali wa mita moja na kuepuka maambukizi wakati.....
MAPACHA WATANO (5)
Umewahi kusikia mapacha watano eee? Basi tukujulishe tu kuwa inatokea. Hii ni moja ya picha bora kabisa ya ULTRASOUND iliyopigwa na wataalamu wetu wa @uhuruhospital siku ya Tar 13/02/2020 ikimuonyesha mama mwenye ujauzito wa 'watoto' 5.
Image @UhuruHospital