Hapa nani wa kulaumiwa kwa huyu Kuku Kugongwa na gari?
Najua wengi watasema ni huyo mtoto.
Sasa iko hivi;
Mtoto = TEC
Kuku = Vijana wa Kitanzania
Gari/Dereva = Jeshi la Polisi
Angalia hapo mwisho baada ya Kuku kugongwa, angalia mtoto (TEC) anavyomlaumu dereva, yani kana kwamba yeye hausiki kabisa.
𝐈𝐧𝐚𝐜𝐡𝐨𝐤𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐓𝐄𝐂 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐤𝐢𝐧𝐚𝐢𝐭𝐰𝐚 “𝐌𝐨𝐫𝐚𝐥 𝐋𝐢𝐜𝐞𝐧𝐬𝐢𝐧𝐠”.
✍️Moral Licensing maana yake ni kujipa uhalali wa kimaadili. Au wengine huita “Image Laundering”, kwa kiswahili ikiwa na maana ya Kufanya matendo ya hisani au shughuli zinazoonekana nzuri ili kufunika makosa na kurejesha sifa mbele ya jamii.
Hiki ndio wanachokifanya TEC.
Hakuna asiyejua uhusika wa TEC kwenye kuchochea machafuko ya Oct. 29, TEC ililipa watu kufanya kampeni za kumchafua Rais SSH na Serikali mtandaoni, TEC ilitumia mtandao wake wa Wakatololiki ndani ya serikali kufanya uzandiki ndani ya serikali.
Mnachotakiwa kujua ni kwamba, hasira za TEC kwa serikali ni baada ya DPW kuwekeza Bandarini, kitendo kilichoziba mianya yote ya wizi na ukwepaji kodi wa TEC.
TEC inapotoa barua ya kuomboleza vifo vilivyotokea katika matukio ya Oktoba 29, swali muhimu linabaki kuwa je, kuomboleza pekee kunatosha bila kuwepo kwa uwazi na uwajibikaji? Kama ni maombolezo tu, hata tumbe ya Jaji Chande ilitoa pendekezo hilo.
Matamko ya pole na rambirambi ni muhimu, lakini isiwe kichaka cha kujisafisha kuisahaulisha jamii ushiriki wenu katika machafuko yale. Watoto wengi wa Kitanzania walikufa kwa sababu ya waraka zenu, matamko yenu, hata siku moja hamkuwahi kutoka kuwausia watoto wa Kitanzania kulinda amani yao, kama walivyofanya Waislamu, bali nyie mlitoka na kutia spiriti zaidi palipo kidonda.
Nasema wazi, mnachofanya TEC ni unafiki, na Mungu hapendi. Katika yale machafu yaliyotokea Oktoba 29, TEC mnahusika kwa asilimia zaidi ya 70. Ni kawaida yenu kupenda machafuko Wakatoliki, mlishiriki mauwaji wa Kimbari Rwanda 1994/96, Mmeshiriki biashara ya Watumwa na hadi leo, mnakesi za kufira na kulawiti watoto katika madhabahu yenu. TEC acheni unafiki, Mwacheni Samia afanye kazi yake.
𝐌𝐀𝐔𝐙𝐎 𝐘𝐀 𝐍𝐘𝐀𝐌𝐀 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐍𝐂𝐇𝐈
🔵2020/21: Tani 1,774
🔵2023/24: Tani 13,745
🔵2025/26: Takriban tani 15,000
Mauzo yameongezeka zaidi ya mara 8 tangu 2021.
Oman ndiyo soko kubwa zaidi, ikinunua zaidi ya nusu ya NYAMA kutoka Tanzania 🇹🇿.
Lengo ni kuuza tani 50,000 kwa mwaka.
𝐍𝐈𝐒𝐇𝐀𝐓𝐈 𝐒𝐀𝐅𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐊𝐈𝐀 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀
📍 2021: Asilimia 6.9 📍 2022: Asilimia 16 📍 2025: Asilimia 23.2 📍 2026: Asilimia 28.6
Matumizi yameongezeka zaidi ya mara 4 ndani ya miaka 5.
Lengo kufikia asilimia 75 ifikapo 2030 na asilimia 80 ifikapo 2034.
Selling Gold is not the only solution to our currency stabalization, zipo kibao, long term na short term. Kasoma mpango wa maendeleo wa miaka 50, utaona vile Serikali imejikita kwenye uchumi wa viwanda, teknolojia na kuongeza thamani mazao yetu, na pia kuwabana wawekezaji kujenga viwanda vya kuchakata madini hapa nchini. So zipo nyingi, shida hamsomi halafu mnauliza as if hazipo.
📍 Manyara–Singida
Matengenezo ya Barabara ya Gehandu–Babati yanaendelea, ambapo km 10 kati ya 15 za awamu ya kwanza tayari zimekamilika.
Matengenezo hayo yanalenga kuboresha maeneo korofi na kurahisisha usafiri na usafirishaji. Awamu nyingine ya km 20 kuelekea Katesh Mjini pia imepangwa kutekelezwa.
𝐎𝐍𝐆𝐄𝐙𝐄𝐊𝐎 𝐋𝐀 𝐒𝐇𝐄𝐇𝐄𝐍𝐀 𝐁𝐀𝐍𝐃𝐀𝐑𝐈𝐍𝐈 𝐃𝐀𝐑 𝐄𝐒 𝐒𝐀𝐋𝐀𝐀𝐌 𝟐𝟎𝟐𝟏–𝟐𝟎𝟐𝟔
2020/21: Tani milioni 16.27
2024/25: Tani milioni 27.7
2025/26: Tani milioni 33.7 — rekodi mpya.
Shehena imeongezeka kwa takribani 107% kutoka 2020/21 hadi 2025/26.
𝐈𝐌𝐅: 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀 𝐌𝐈𝐎𝐍𝐆𝐎𝐍𝐈 𝐌𝐖𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐔𝐌𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐎𝐊𝐔𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐊𝐀𝐒𝐈 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐊𝐀.
Uchumi wa Tanzania unakadiriwa kukua kwa 6.0% mwaka 2026 na 5.9% mwaka 2027, huku mfumuko wa bei ukitarajiwa kuwa 4.0% mwaka 2026.
Kwa kulinganisha, wastani wa ukuaji wa uchumi katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara unakadiriwa kuwa 4.5%, huku mfumuko wa bei ukifikia 8.6%.
Takwimu hizi zinaonesha matarajio ya Tanzania kuendelea kuwa na ukuaji imara wa uchumi na kudumisha mfumuko wa bei katika kiwango cha chini.
Chanzo: IMF, World Economic Outlook, Oktoba 2026.
Mbwembwe kabla ya Oktoba 29.😂😂.. Huyu kijana bwana kuna kipindi alijikuta MMM, akaacha kuuza nguo Kariakoo akiingilia harakati.
Wazee wa kazi wakamdaka wakaishi naye kama wiki mbili hivi, unaambiwa analia tu muda wote na kuomba msamaha. Alivyotoka mamae hajaposti tena humu ndani. Aliye karibu naye ampe salama zangu..