Wakulima wilayani Babati mkoani Manyara wameandamana kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapunguzia bei ya mbolea.
Wakijiandaa kumpokea Rais ambaye anaanza ziara mkoani humo leo wamesema walikuwa wakinunua mbolea kwa TZS 150,000 lakini sasa wananunua kwa TZS 70,000 tu.
Sikutoa tenda ya sanamu na siwezi kuwakana/kuwalaumu wasaidizi wangu walioitoa kwa kuwa najua walikuwa na nia nzuri siku zote na ndiyo maana tulifanikisha mambo mengi pamoja. Haya ni makosa madogo mno na kwenye nchi ya watu wenye akili, hii haiwezi kuwa issue hata kidogo!