Ndio napatana na hii sai..Yani vijana wa Ol'Kalou walikua hadi Wana gaslight wazazi ati kasongo Ako illuminati ๐คญ๐๐ Wantam is inevitable ๐๐
"Huwezi fungulia mafi yenu kwa barabara halafu unaniletea kiburi juu uko na pesa, hii upuzi mnakuwanga nayo mtaacha" Drama as Katibu Geoffrey Mosiria clashes with a Somali man in South C over discharge of raw sewage from his house to an open drainage line.