Mnada mkubwa wa Mali za Ubalozi wa Marekani. Kwa idhini tuliyopewa tutauza kwa mnada wa hadhara Toyota L/Cruiser V8 nne(4), Generators, Furniture za nyumbani pamoja na vitu vingine vya ofisini. Ni siku ya Jumamosi 18.02.23 kuanzia saa 4, Golden Resort, Sinza.
Contact: 0754284926
Kwa idhini tuliyopewa na World Bank tutauza Landcruiser V8 tatu (3) kwa kutumia approach ya Sealed Bid.
Magari haya yanaweza kukaguliwa kuanzia leo tarehe 12-19 Oct 2022 saa 4-10 jioni ofisi za World Bank Plot #50, Mirambo Street.
Kwa mawasiliano 0754284926
To be Auctioned this week Saturday as from 10 am. Venue: Golden Resort, Sinza near Lion Hotel. For further details do not hesitate to contact us +255 754 284 926
Wiki hii, Jumamosi tarehe 02.07.22 kuanzia saa 4, Ubalozi wa Marekani na Denmark watauza kwa mnada wa hadhara Magari sita (6), Fridge/Freezers, Vitanda, Furniture za nyumbani pamoja na vitu vingine vya ofisini. Wapi: Golden Resort, Sinza jirani na Lion Hotel
Ubalozi wa Switzerland, Norway na British High Commission utakuwa na mnada mkubwa wa Furniture za nyumbani naza Ofisini, Magodoro, Mafridge, Magari matano na Generator 63KVa. Universal Auction Centre kwa idhini tuliyopewa tutauza mali hizo siku ya jumamosi 05.02.22 kuanzia saa 4
Heri ya Mwaka Mpya π
Kwa niaba ya BARRICK GOLD MINE, tunapenda kukualika kwenye Mnada mkubwa wa Mitambo na Magari chakavu
Mnada utafanyika siku Jumamosi tarehe 08 Jan 2022
Mahali: Eneo la mgodi wa Barrick Bulyanhulu β Kakola.Kuona ni kuanzia tarehe 5 mpaka 7 Jan '22
Kwa idhini tuliyopewa na Ubalozi wa Switzerland, Intrahealth Int na HTT Infraco tutauza magari hayo 14 wiki hii siku ya jumamosi 04.12.21 kuanzia saa 3 asubuhi, Golden Resort, Sinza jirani na Lion Hotel
Magari yote yanaweza kukaguliwa kuanzia leo.Kwa mawasiliano zaidi 0754284926
Mnada mkubwa wa Magari, Magenerator, Mafridge pamoja na Furniture nyingi za nyumbani na ofisini, Mali kutoka Ubalozi wa Denmark, Uholanzi na Uingereza. Mnada utafanyika siku ya jumamosi ya wiki hii 27.02.21 kuanzia saa 4 asubuhi, Golden Resort Sinza.
Kwa mawasiliano: 0754284926
Kwa Unyenyekevu mkubwa,
Uongozi na timu Nzima ya Universal Auction Centre inapenda kuwatakia wateja wetu wote heri ya Christmas. @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/zaXjbTMnd0
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kabisa kwa wateja wetu wote tulioshiriki kwa pamoja siku ya leo Tafadhali endelea kuperuzi ukurasa wetu kwa taarifa za mnada ujao. https://t.co/6ySlZ9Io7A
Je umeshajipanga nini unataka?
Kumbuka imebaki siku moja tu milango kufunguliwa watu kuanza kuangalia mali
Hakikisha ukosi kufika siku ya jumamosi kuanzia saa nne kamili ukiwa tayari kabisa kupokea sofa lako. https://t.co/URlSEjfUT1