An agent of positive social participation and income generating behaviour change in Uvinza and along Lake Tanganyika Corridor Basin, Kigoma - Tanzania.
Leo Oktoba 6, 2020 @TAMWA_chini ya mradi wa #WanawakeWanaweza unaofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wanawake @UN_Women) inazindua mafunzo kwa wanahabari 50 wa redio za kijamii kutoka mikoa 17 ya Tanzania bara jijini #arusha
#Uchaguzi2020 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dkt. John Magufuli akiwa ameambatana na Mgombea wake mwenza Samia Suluhu, leo Agosti 6, 2020 amechukua fomu ya kugombea Urais katika ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa Jijini Dodoma.#ccm#ccm2020
KIGOMA
Wananchi wa mitaa ya Ntovye na Butunga, Kata ya Kibirizi Manispaa ya #kigoma Ujiji, wameiomba serikali kuingilia kati kudhibi vitendo vya uporaji na wizi mdogo mdogo.#wizarayamamboyandani#unescodar#boreshahabariEndelea kutusikiliza online kwa https://t.co/OLPLq0Zhu2
KIGOMA
siku 90 zimetolewa, kuhakikisha miradi yote ambayo inatekelezwa mkoani #Kigoma inakamilika kwa viwango vinavyoendana na thamani ya fedha iliopangwa kutumika, Na kudai kuwa wasimamizi watakabainika kwenda kinyume na agizo hilo watachukuliwa hatu za https://t.co/3NfRQbFSkG
KIGOMA
Serikali imetoa siku 90, kuhakikisha miradi yote ambayo inatekelezwa mkoani #Kigoma inakamilika kwa viwango vinavyoendana na thamani ya fedha iliopangwa kutumika, Na kudai kuwa wasimamizi watakabainika… https://t.co/ZLkKVBIQzF
Saa 10:00 alasiri ndani ya kampeni yetu ya #tuzungumzecorona je unafahamu wajibu wa serikali ya mitaa katika kuendelea kuchukua #tahadharivirusicorona tusikilize online kwa https://t.co/OLPLq0Zhu2 #boreshahabari… https://t.co/aEcE3UDRXg
Leo saa 10:00 alasiri ndani ya kampeni yetu ya #tuzungumzecorona je #wafanyabiashara na wanaendelea kuchukua tahadhari ya kujikinga na #covid19 je unaendelea kuchukua tahadhari? Endelea kutusikiliza online kwa… https://t.co/iN9ksWM8bO
Leo hii saa 3:15 usiku ndani ya #jaridalacorona utasikia wasikia #wananchi wakizungumzia namna ya tiba mbadala kukabiliana na #covid19#nyungu tupe maoni yako? Endelea kutusikiliza online kwa https://t.co/OLPLq0Zhu2… https://t.co/rqgDzttfzD
#weekend_jams tuzungumze huwa unachukua hatua gani unapopata taarifa ya #unyanyasajiwakingono kwa watoto ? Tuandikie comments zako nasi tutazisoma. Tusikilize online kwa https://t.co/OLPLq0Zhu2