@masoudkipanya Ila masoud kwahyo katikati ya Jangwa ACT inaendeleaa kuistawisha CCM... ! Kwakifupi uhai wa CCM upo ACT .... haya bhana nmewaza tu huenda sio kwelii
@KShengelo@chapo255 Huwezi muliza mtu swali kabla hajajibu unampandia juu kama ng'ombe that is unethical. Na inaonekana hajafanya uchunguzi juu ya maswali anayo uliza. Kama hujaona basi kuna kosa