@EduTalkTz Kabisa katuumba katupa akili na vipaji tofauti, vikiendelezwa na kufanyiwa mazoezi endelevu maajabu kama haya ndio yanatokea. Test accomplished.# Space X
@BillyTronix1 Dini zililetwa kutupumbanza na kufanya tuwe waoga, na tuwe na matumani, tusiuwane, tuibiwe tusiulize, kutafuta usawa na kila mtu. Dini ni mashishirika tu. Non proft organizations.