Usiwahi kufanya any kind of "Marketing" maybe kulipia "Ads" kabla hujajiuliza haya maswali matatu.
1. Who am i selling to.? (Target market)
Obviously sio kila mtu utataka awe ni mteja wako, lazima ujue ni nani hasa atanunua bidhaa/huduma yako by fire or by force.
unaweza kuwa-categorize either by Age group or by gender ni muhimu sana.
2. Where are they Located
Hii ni muhimu mno, lakini watu wengi wana ignore
Unaweza ukawa unafocus sana kuuza lets say Twitter (X) na target market yako ipo 'tiktok' au una struggle kulipia Ads "Instagram" kumbe wateja wako wengi wapo "Facebook"
Do your research, jua watu wako wapo active zaidi kwenye platform gani for (Digital marketing)
Mfano: kama biashara yako ime-Target zaidi watu wazima(wazee) wanakuaga watu wakanisa/ibada sana, coz wazee wengi ambao wapo retirement age mostly wanakua involved na mambo ya ibada
wengi wao utawakuta facebook, so ukitaka kuuza zaidi ni lazima uweke nguvu kubwa Fb coz huko ndipo watu wako walipo.
3. Can they afford my product/services.?
Wateja wako wanaweza kumudu bei, hii itakusaidia usipoteze muda.
kama unataka kufanya 'Ads' hakikisha wateja wako wana mudu price tag yako ili baadae msije kusumbuana ku-
bargain kuhusu bei.
People will talk no matter what you do. Win? They talk.
Lose? They talk.
Stay the same? They still talk. So stop trying to control the narrative and just live with integrity. Let your actions speak for themselves. Their opinions don’t define your purpose. Your life does.
@maxannania Imani ni tafsiri sahihi ya Energy na energy ni magnetic ina pull and push. kitu ukikiamini kwa nguvu zako zote kinavutia positive impact the same us ukiwa huna imani na kitu kinakukeletea impact iyo iyo
mara chache sana ndo hutokea surprises
Imani ndio msingi wa maisha yetu.
Kuna kitu kinaitwa IMANI, siyo lazima iwe spiritual kuna imani katika yanayo onekana pia.
Kutoamini in spiritual realms pia ni imani, just because you don’t believe it i doesn’t make it obsolete.
What i am tryin say is, IMANI ni halisi na ni hakika, ni Imani gani that’s where lies the pandora.
So don’t think (as you imply) who believe in players are naive.
@DadaConso Kuna muda sio ata different company humo humo kwenye kampuni yenu kuna mtu mko role moja na pengine wewe umemzidi uwezo lakin analipwa zaid yako
watu wengi tunafeli kwenye ku-negotiate value zetu from the beginning
desperation zinasababisha tuna lower standard zetu kupata kazi
Haya mambo haya..
Unakuta unafanya kazi Ile ile anayofanya mtu mwingine, but kwenye a different company/institution ila yeye anakula 3-times ya your gross salary. Na benefits za kutosha..
Hapo ndo unaanza kujitafakari na wewe utafikaje in their position.. without sabotaging anything. 🥺
@DerrBisek Nilifikiri muda wa nani atakua nani uliisha kipindi cha uchaguzi mwaka jana mwaka huu inatakiwa kua hawa waliojipa nafasi za kuongoza wanaongoza vipi.
Issue hapa ni vipaumbele, hatuna hata miezi 7 tangu uchaguzi na yaliyotokea kuisha so why now tunaanza agenda za rais wa 2030🤔
Ni ujinga kuanza kufikiria who is next saivi ujinga sana na tunaingia kwenye mitego ya wanasiasa
Kama nchi tukiendelea na utratibu huu hakuna mahali tutasogea coz everybody thinks about uchaguzi n who is next to next🙌🏿
@DerrBisek ok very nice, siasa haijawahi kusimama lakini my concern is tunashindwa ku-focus na yalipo kwa kuwaza yajayo.
kwa sasa hali ya siasa nchini ikoje, kwa sababu tunataka siasa itubadilishie maisha na ilete maendeleo ndani ya muda sahihi.
CDM wakiwa wanayazungumzia mabaya ya CCM kwann hua wanamu-exclude Mwalimu🤔
kwani Mwalimu hakua pioneer wa CCM na mifumo yake ambayo ndo inatumika hadi leo.?
sisi ambao hatukuepo kipindi cha mwalimu tueleweshwe kama watoto wadogo apa. Ni kweli mwamba hakuwa na baya kma nyamwiga
"Tulipoingia Bungeni mwaka 2015, hii barabara ya Old Bagamoyo ilikuwa inajengwa miaka sita baadae wanaibomoa wanaweka mwendokasi. Yaani hawakuwa na mawazo tu kwamba hapa tutakuja kuweka mwendokasi, waweke kipindi hicho, mabilioni ya fedha yamewekwa hapa na leo wanayateketeza."
.... Cha kwanza kinachoanza ni plan (mpango), hawa watu hawana mipango, hawana maono, hawana uelewa- kwahiyo kila kitu wanachokifanya ni zimamoto na ndio maana barabara inajengwa leo kesho ina matundu. Mimi nimeenda Ujerumani nakuta barabara ya mwaka 1890 haijawaji kubomoka ila hapa kwetu tuna matatizo lukuki, hata nikikuuliza wewe ni kipi CCM wameweza, utaniambia nini kimoja.?"
"CCM na mfumo wake ni total failure, ni disaster kwa nchi hii na kuwaacha kuendelea kuongoza hata kwa nusu saa ijayo ni kuendelea kuumiza Nchi hii. Hakuna ambacho wamefaulu, si maji, si umeme, si barabara, basi walau wangekuwa na kimoja walichofanikiwa lakini hata amani mnayosema kwamba wamefanikiwa kuilinda mimi niwaambie kuwa Nchi hii haina amani, amani hailindwi na mtutu wa bunduki, amani inajilinda yenyewe." - John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema (bara) akihojiwa na redio BongoFm.
Hawa ndio tunaita WASOMI wa nchi yetu au kuna Wasomi wengine.??
Uyo ni waziri na msomi ameshindwa kujieleza basi hata kusoma pia ameshindwa.?
Hii nchi tunajua kweli tunakotaka kwenda au ndio bora liende 🤔
Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mwenye shahada ya uzamivu katika sayansi ya siasa, amewahi kuwa Katibu Mkuu wa CCM, na sasa MaCCM yamekabidhiwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwake. Fikiria, ni mshauri wa Rais eneo hilo. Daktari wa falsafa (Ph.D) hawezi kueleza mpango wa Serikali katika kuongeza thamani mazao ya uvuvi ili kuongeza kipato cha wavuvi. Battery Low. Hakika, CCM ni kansa. Catastrophe..
@FKihamu Ni jambo la hovyo sana miezi michache kutoka uchaguzi kuanza kujadili uchaguzi mwengine utakao fanyika miaka mitano ijayo.
Na hili waandishi naanza kuhisi tayari mna ajenda zenu. Miongoni mwa shida za hii nchi ni hii kukaa kuwaza uchaguzi kila siku kuliko kuwaza maendeleo.